PostGE2025 Mwananchi: Nina imani na bunge la CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,505
Reaction score
2,262
" Nina imani kubwa sana na bunge la sasa hivi jinsi lilivyo. Ni bunge la Chama cha Mapinduzi"- amesema mwananchi

Huyu ni mwananchi tena mtu mzima aliyeshuhudia vipindi vingi vya uongozi hapa nchini, naamini anaelewa hasa matukio yanayoendelea lakini bado anashobokea uwepo wa nguvu ya chama kimoja bungeni ndiyo wafanye maamuzi na mustakabali wa taifa

1763454436714.png
 
Uzuri watu wa Rika lake hawafiki hata Milioni 10, yaani hata watu milioni 5 wakisema wana Imani na CCM, kuna Vijana zaidi ya Milioni 30 hawaijui CCM na Chadema, na hawataki Usenge wowote ule zaidi ya Nchi yao kuendeshwa kwa kufuata Misingi ya Haki, Demokrasia na Utawala Bora. Madogo hawaelewi afu wako wengi
 
Kama kweli wanajitambua, mbona hawajitahidi kudai mgombea huru aruhusiwe
 
Back
Top Bottom