Mwanamuziki "Roma Mkatoliki" Kujiunga CHADEMA Wiki Ijayo

Mwanamuziki "Roma Mkatoliki" Kujiunga CHADEMA Wiki Ijayo

Hamna kitu humo...umezidiwa tu...kamata mutu inayokula nyagi ipe papuchi uone nini maana ya VALUE ADDED utalaumu msimamo wako wa kizamani. Nipm ukitaka haoa nyagi ndo kwao...merry xmas
 
Mimi nafikiri sanaa ina nafasi nzuri zaidi ya kukosoa siasa kuliko kuwa mwanasiasa, kama issue ni kukosoa tu.

Kama ni "jockeying for position" of course, Sugu opened the floodgate.
 
CDM kimeingiliwa akina Bob Marley maana hawa ni miongoni mwa vijana wachache wanaotumia Weed kwa kiwango kikubwa!

Kweli CDM sasa kwishney hadi huyu mvuta bangi mashuhuri! Afande Sele ameshachanganyikiwa tayari hakuna asiye mjua!

Wee umeshachuja huna Mbele wala nyuma Kama baba Tunda
 
Hivi wana muziki mkisha chuja mnakimbilia CDM yaani sawa na wagonjwa wakiwa mahututi wanakimbia Roman Catholic kwenda kwa Manabii kuomba uzima kumbe ndio wanakufa!

Nenda wavuta bangi
 
Bora mvuta bangi aende chadema waache mateja wa CCM akina Ray C wapewe msaada Ikulu. go Roma go go best lucky.
 
Kajitambua safi sana!yale maboya yaendelee kubebeshwa sembe tu!
 
Back
Top Bottom