wavuta bangi wanazidi kukusanyana
hahahaaa
umenichekesha kweli.....kama vile nakuona ulivonuna, domo umelivuta na kusonya kwa hasira...
Hivi bangi si ni dawa za kulevya? Kama unawafahamu drug dealers kwa nini usiwasemee kwa afande Nzowa au Kova ule bingo?