Mwanamuziki "Roma Mkatoliki" Kujiunga CHADEMA Wiki Ijayo

Mwanamuziki "Roma Mkatoliki" Kujiunga CHADEMA Wiki Ijayo

I have a great respect for all musicians in Tanzania.They are doing a fantastic job in waking Tanzanians up from their slumber.Hip hop Musicians are educating us on what's going on in our Country through their informative lyrics.But there's this stuff going on inside this party,It seems like Chadema people are more into Celebrities than they are into politician & economist astute.It looks to me that we are building a Party which revolves around romance than reality & practical ideas!That's the reason why we tend to ignore intelligent contributions to the prosperity of our Party & Nation as a whole made by some of the Chadema's Cadres.
You talking nonsense! Dont you see a bunch of brilliant guys in CDM?
whom would u compare to TL in CCM?
 
kama kawa 'roma mkatoliki' anajiunga na chama cha 'wakotoliki'

chadema sio ya wakatoliki,hujui kua Prof Abdallah Safari na wengine wengi wa imani tofautitofauti wapo humo? kwanini msajiri wa vyama amesajiri chama cha kidini ili kiwanie madaraka?

au unajifunza kuropoka?
 
we unafikiri Roma angeenda wapi, chadema ndo Kuna DJ mkuu mbowe, kila kitu usanii tu, acha naye akaungane na wasanii wenzake kina sugu, afande, na Prof J chini ya DJ mbowe, timu imekamilika full shangwe, ukiongeza na sheria ya gongo na bangi wacha kabisaaa, nchi inakuwa ya majuha
 
Na wakati haswa wa cdm kuandaa kitengo cha sheria mahsus kwani cc majambazi wataandaa kesi za kuua. Kamanda wa kung'oa kucha mwigulu nchemba atawamaliza hawa fijana. Wa rtz wataendelea kuwa makontaina ya sembe.
 
Chama kinachokimbiliwa na wahuni kama afande sele na roma sio kimbilio la mtanzania aliyejitambua.
 
ROMA MKATOLIKI WA JIJINI TANGA: Akiongea na Mabest zake Wa Mtaani huko Tanga amesema anaplan Kuingia Kwenye Uringo wa Kisiasa ili apate nafasi Nzuri ya Kuikosoa Serikali baada ya Mziki wake Kupuuzwa na Viongozi wa Taifa hili. "Naplan Kuzamia Kwenye Mambo ya Politics hivi sasa, By the Way Wiki Ijayo naweza Kuchukua Kadi ya Chadema Rasmi"... Pia amesema Atahakikisha Wasanii Wenzake wanaoimba Muziki wa HipHop akina Kala Jeremiah nao Wanaunda timu ya Maangamizi Kuing'oa CCM Madarakani, ila aliwasihi sana Viongozi wa Chadema Kuwa Karibu nao pale Wanapozushiwa Shutuma za ajabu ajabu Kisa Wamejiunga na Chadema... Chanzo: Radio Free Africa...
wanamuziki ambao wengi wao ni wavuta bangi kujiunga na CHADEMA, hii ina maana gani?naona wakiingia bungeni hao watahalalisha BANGI kabisa make kwa upande wa GONGO naona wanakuja vizuri
 
Huyu roma mkatoliki ni lini hakuwa chadema?

Leo atashangiliwa sana na vijana wa bavicha lakini akiamua kutoa yake ya moyoni atajuta kuwafahamu chadema chumbani na chadema sebureni.

Amuulize afande sele alipo toa yake ya moyoni kuhusu sakata kinalo itafuna chadema kwa sasa alitukanwa na vijana wa bavicha hadi rasta zilichomoka.

Roma nini maoni yako kuhusu chadema kutaka kutonywa?

Roma nini maoni yako kuhusu chadema kutaka kuhalalisha gongo?

Roma nini maoni yako kuhusu muasisi wa chama kuchagua mwenyekiti?

ha haaa chakavu bana
 
Mvuta bhangi anawafuata wavuta bangi wenzie

Vijana wa Arusha mliwaita wavuta bangi lakini majibu mlipata baada ya matokeo.

Sasa naona mnawaita watanzania wavuta bangi, subirini maamuzi ya wavuta bangi uchaguzi wa 2015
 
Kwa CDM wote ni buree, na ndio maana unaona hata wasanii wavuta mabangi, wagomvi ndio wana kimbilia uko... kwasababu ndio aina yao.. nuru huenda na nuru, giza huenda na giza.

Ni bora sasa tuwakabidhi wahuni nchi kwani wasio wahuni tumewakabidhi nchi ikiwa na nyama za kutosha lakini leo nchi imebaki mifupa tu hamna haya kama dagaa.
 
wanamuziki ambao wengi wao ni wavuta bangi kujiunga na CHADEMA, hii ina maana gani?naona wakiingia bungeni hao watahalalisha BANGI kabisa make kwa upande wa GONGO naona wanakuja vizuri

Wewe acha bwela bangi inamahusiano gani na mtu kujiunga na chadema kwani anapokuja huwa anakuja nazo na unaudhibitisho gani kama anatumia.

Ndugu yangu hiyo gongo unayo iona na kuidharau kuna watu imewasomesha mpaka vyuo vikuu mpaka leo ni viongozi serikalini, na hata babu yako kule kijijini anaifurahia sana.
 
'wanajiuliza Dr Slaa ni wap anapata data,ata kama niumevaa mlegezo ikulu napiga chata'KARIBU ROMA
 
Ina make sense kwa watu wa bongofleva kuwa wana CDM maana huko hata mwenyekiti wa taifa ni divisheni Zero.
 
Back
Top Bottom