Mwanamuziki "Roma Mkatoliki" Kujiunga CHADEMA Wiki Ijayo

Mwanamuziki "Roma Mkatoliki" Kujiunga CHADEMA Wiki Ijayo

Kwenye bangi, viroba na gongo ndiyo mwenu hujakosea mdogo wangu.Alika na wengine.

Baada ya kuwatumia kama punda na viongozi wa magamba, sasa wamejitambua. Hawewezi kulipiza visasi kupitia bunduki ila sanduku la kupiga kura na kujihusha rasmi ktkt siasa. Subiri 2015 muone! Mlizoea kuwatumia majukwaani kwa faida yenu sasa basi.
 
Acha ajiunge huyo muimba taarfa ya habari, muziki hawezi.
 
Awakaribshe na mashabiki wa muziki wake kila anapofanya tamasha
 
Weweeeeeeeeee pipoziiii hamna cha bangi wa wala gongo karibu kwenye ulingo wa siasa ulitumikie taifa lako maana wakati ulikua mtoto wazazi wako walikuambia ww ni taifa la kesho sasa kesho imefika kutumikia taifa karibu kwenye gari mpyaaa chadema?
 
Roma.jpg
 
I have a great respect for all musicians in Tanzania.They are doing a fantastic job in waking Tanzanians up from their slumber.Hip hop Musicians are educating us on what's going on in our Country through their informative lyrics.But there's this stuff going on inside this party,It seems like Chadema people are more into Celebrities than they are into politician & economist astute.It looks to me that we are building a Party which revolves around romance than reality & practical ideas!That's the reason why we tend to ignore intelligent contributions to the prosperity of our Party & Nation as a whole made by some of the Chadema's Cadres.
 
Wengi waliotemwa kwenye game la Music wa Bongo wanakimbilia CHADEMA. Halafu kumbe kila mtu ni CCM mpaka pale anapotangazwa kiingia CHADEMA!
 
Kwa CDM wote ni buree, na ndio maana unaona hata wasanii wavuta mabangi, wagomvi ndio wana kimbilia uko... kwasababu ndio aina yao.. nuru huenda na nuru, giza huenda na giza.
Tangu lini taa ikawashwa kwenye Mwanga?Taa huwekwa kwenye kisingiti cha nyumba ili kumulika kote ndani ya nyumba
 
Back
Top Bottom