Mwanamuziki "Roma Mkatoliki" Kujiunga CHADEMA Wiki Ijayo

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
834
0
ROMA MKATOLIKI WA JIJINI TANGA: Akiongea huko Tanga amesema anaplan Kuingia Kwenye Uringo wa Kisiasa ili apate nafasi Nzuri ya Kuikosoa Serikali baada ya Mziki wake Kupuuzwa na Viongozi wa Taifa hili.

"Naplan Kuzamia Kwenye Mambo ya Politics hivi sasa, By the Way Wiki Ijayo naweza Kuchukua Kadi ya Chadema Rasmi".

Pia amesema Atahakikisha Wasanii Wenzake wanaoimba Muziki wa HipHop akina Kala Jeremiah nao Wanaunda timu ya Maangamizi Kuing'oa CCM Madarakani, ila aliwasihi sana Viongozi wa Chadema Kuwa Karibu nao pale Wanapozushiwa Shutuma za ajabu ajabu Kisa Wamejiunga na Chadema...

Chanzo: Radio Free Africa...
 

chollemadulu

JF-Expert Member
Dec 8, 2013
220
225
Roma jembe naktamiania kamanda jiunge faster ili uma ujue halakati zako karibu sana chadema
 

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,213
0
Yuko sahihi kikatiba, ana uhuru wa kujiunga na chama chochote akitakacho! Ila ushauri wake ni wa kweli, viongozi wa chadema wawe karibu na si vijana hao tu, bali vijana wote wanaoonyesha kuunga mkono mabadiliko. Maana ccm kuna mabingwa wa kubambikia kesi watu wasio wanaccm!
 

jidodo

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
1,176
0
Kwenye bangi, viroba na gongo ndiyo mwenu hujakosea mdogo wangu.Alika na wengine.
 

bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,035
2,000
RPC USITUME KIKOSI ILI KUISHUSHA CHADEMA ITALIPWA DAMU YA MWANGOSI IRINGA SEMENI AMINA.by ROMA MKATOLIKI
 

Pdraze

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
616
500
Eti muziki wake umepuuzwa!! Wanamuziki ambao wanatetea haki na maslahi ya wanyonge siku zote mwanzoni hawaskilizwi wanzuiwa hata nyimbo zao kupigwa redion. lakin mwishon wanakumbukwa kwenye vitabu vya historia na vizazi kwa role walioplay sasa huyu bwana mdogo yeye alikuwa anataka atoke tu ila hana uchungu ndio maana haamin anachokifanya na sio mvumilivu!! Kwenye mapinduzi pia kuna specialization wengine music, wengine sanaa za kuchora sasa nyie wote mnataka kuwa wanasiasa aah mtuache Watanzania!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom