G
guest-1790917349
Guest
Ni bora sasa tuwakabidhi wahuni nchi kwani wasio wahuni tumewakabidhi nchi ikiwa na nyama za kutosha lakini leo nchi imebaki mifupa tu hamna haya kama dagaa.
Umeona eeh

Huoni hata noma...
Kwa sababu babu yenu kahalalisha gongo mnafikiri kila mtu anatumia ?
Avatar yako inaonyesha dhaihiri wewe ni mtumiaji mzuri wa gongo
Labda upeo wako ni mdogo, konyagi na gongo zote ni spirits. Tofauti ni utayarishwaji wa gongo ambao ukiboreshwa utaliongezea pato taifa na kumuinua mtanzania mwenye kipato cha chini.
Hakuna mwanamuziki wa bongo fleva mwingine atakayapata ubunge. Sugu mwenyewe Mbeya mguu ndani mguu nje. 2013 harudi bungeni.
ROMA MKATOLIKI WA JIJINI TANGA: Akiongea na Mabest zake Wa Mtaani huko Tanga amesema anaplan Kuingia Kwenye Uringo wa Kisiasa ili apate nafasi Nzuri ya Kuikosoa Serikali baada ya Mziki wake Kupuuzwa na Viongozi wa Taifa hili. "Naplan Kuzamia Kwenye Mambo ya Politics hivi sasa, By the Way Wiki Ijayo naweza Kuchukua Kadi ya Chadema Rasmi"... Pia amesema Atahakikisha Wasanii Wenzake wanaoimba Muziki wa HipHop akina Kala Jeremiah nao Wanaunda timu ya Maangamizi Kuing'oa CCM Madarakani, ila aliwasihi sana Viongozi wa Chadema Kuwa Karibu nao pale Wanapozushiwa Shutuma za ajabu ajabu Kisa Wamejiunga na Chadema... Chanzo: Radio Free Africa...

Ndio upeo wangu ni mdogo...
Nyinyi babu yenu akihalalisha kitu wala hamfikirii mara mbili ...mnaitikia tu ...ndio Mzee...
Siku akisema watu wa jinsia moja waruhusiwe kufunga ndoa mtakuja kumtetea kwa kutumia logic za ajabu ajabu..
Msiwe kama misekule
na akisema tu naanza na wewe.