Mwanamuziki "Roma Mkatoliki" Kujiunga CHADEMA Wiki Ijayo

Mwanamuziki "Roma Mkatoliki" Kujiunga CHADEMA Wiki Ijayo

Hakuna mwanamuziki wa bongo fleva mwingine atakayapata ubunge. Sugu mwenyewe Mbeya mguu ndani mguu nje. 2013 harudi bungeni.


rudia tena kusoma post,hakuna alipoomba ubunge.labda kama ukiwa mwanachama cdm tayari umekuwa mbunge
 
ROMA MKATOLIKI WA JIJINI TANGA: Akiongea na Mabest zake Wa Mtaani huko Tanga amesema anaplan Kuingia Kwenye Uringo wa Kisiasa ili apate nafasi Nzuri ya Kuikosoa Serikali baada ya Mziki wake Kupuuzwa na Viongozi wa Taifa hili. "Naplan Kuzamia Kwenye Mambo ya Politics hivi sasa, By the Way Wiki Ijayo naweza Kuchukua Kadi ya Chadema Rasmi"... Pia amesema Atahakikisha Wasanii Wenzake wanaoimba Muziki wa HipHop akina Kala Jeremiah nao Wanaunda timu ya Maangamizi Kuing'oa CCM Madarakani, ila aliwasihi sana Viongozi wa Chadema Kuwa Karibu nao pale Wanapozushiwa Shutuma za ajabu ajabu Kisa Wamejiunga na Chadema... Chanzo: Radio Free Africa...


Habari nzuri, hawa jamaa tunawahitaji kwenye harakati hizi... Sasa tuna Prof Jay, Jay Dee, Mkoloni, Sogy dogy, Afande Sele, Wanamwita Sugu, etc. Haponi mtu hapa!!!!!!!!!!!

Peoples Power...
 
Habari nzuri, hawa jamaa tunawahitaji kwenye harakati hizi... Sasa tuna Prof Jay, Jay Dee, Mkoloni, Sogy dogy, Afande Sele, Wanamwita Sugu, etc. Haponi mtu hapa!!!!!!!!!!!

Peoples Power...

Kabisaa Arifu,Kisha tuwatimue akina Zitto,Baregu,Kitila,Safari,Mwigamba na wengineo wenye upeo mkubwa kielimu na kifikra au unasemaje arifu?
 
Baada ya chama chetu kujitenga na harakati na kwenda kujijenga kama taasisi, lazima wawepo watu watakaobaki kwenye harati kwa style tofauti. Wanamziki watasaidia sana kazi hii.
 
So bad anaingia chadema kipindi kibaya ambacho chama hakieleweki wakati shibuda bado akiwa mwanachama hai wa chadema zitto anafikiria kufukuzwa.
 
wavuta bangi wanazidi kukusanyana

...hata bob marley mlimuona mjinga,lakini msg zake zilikuwa na maantiki. ni afadhali nimsikilize roma kuliko kumsikiliza dokii,ipo tofauti kubwa sana ya kiakili na mtazamo juu ya watu hawa na ukichunguza kwa makini utajua nani mwanaharakati wa kweli na yupi ni mchumia tumbo...
 
wavuta bangi wanazidi kukusanyana
Ili wachukue nchi ... kumbuka mabadiliko ya regime mahali popote duniani yameletwa na lile tabaka lililobezwa na kuwa sidelined ... hao ndo wenye uchungu sana na mabadiliko na ndio ambao hawaogopi chochote,sio wale wachache wenye pesa ya mboga na milo miwili ambao siku zote huogopa kupoteza kile kidogo walicho nacho ... i dont mind chadema ikiitwa chama cha wavuta bangi,wanywa gongo etc .... hao ndio watakuwa mashujaa wa nchi hii siku moja ... you can mark my words... God's.
 
...ni aheri hao unao waita wahuni lakini wanapigania haki na tunaona kuliko watakatifu wako waliokuacha maskini mpaka kesho...

Hahaha nani kakwambia mimi ni maskini na mungu kanipa viungo vyote vya mwili Mkuu?
 
Ni uhuru wake....na ni utashi wake pia....ya nini kumhukumu?
Kila mtu anachagua pale anapoona panafaa....
 
piiiiipoooooooz pawa ni nouma acha kile chama cha magaidi kama akina mwigulu,wabakaji kama kapuya na majangiri kama kinana!chadema iko makini balaaa! Karibu kamanda tulisongeshe gurudumu la ukombozi!
 
Back
Top Bottom