Octaman
Senior Member
- Aug 10, 2016
- 153
- 111
kama yap?kiukweli mh. rais ameonesha hali ya utu, na mwenye kusikiliza mawazo ya wengi.
kama yap?kiukweli mh. rais ameonesha hali ya utu, na mwenye kusikiliza mawazo ya wengi.
Kama yapi hayokiukweli mh. rais ameonesha hali ya utu, na mwenye kusikiliza mawazo ya wengi.
Na alikuwepo uwanjaniHongera Rais kwa hili sijui Kikwete atajisikiaje.
Aaahhh risasi mumpinge NYIE wenyewe halaf msema serikaliKupigwa risasi Tundu lisu ni mbaya na hatujui nani kampiga, Ila kuachiwa Babu Seya pia hakuna ubaya
Jamaa ana copy na Ku pest Sera za chadema na ahadi za lowasaLowassa sera yake imezingatiwa
Jamani mbona makosa yao hayapo kwenye msamaha???
mnapotandikwa msilalamike sasa maana ndo reflection ya lowassaHii ni reflection ya Lowassa so anayoyafanya Uchwara ni kutizama Edo alisemaje 2015
IpiiiiSafi kabisa
Ni kweliiiAcha uropokaji dogo!
Hujamuelewa mwenzakoUliwaona wakiyatenda!?
Political affairs.Jamani mbona makosa yao hayapo kwenye msamaha???