Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

Huo ndio uzalendo wa kweli God is great....!
Yaani kuwaacha kina babu seya ndiyo uzalendo? Mkuu kajifunze maana ya neno uzalendo. Kwangu mimi kwa hilo kafanya vzr kuwatoa maana ukweli wa kilichofanya wafungwe mimi sikielewi, lakini kuna wengine pia wamefungwa kwa makosa yasiyoeleweka na wengine walionewa na wengine walikosa msaada wa kisheria tu kuna haja ya hawa pia kuangaliwa pia.
 
Nini maoni yako kwa raisi kuwasamee wabakaji kama shtaka lilivyo wa kabili watu wa familia moja?
 
Back
Top Bottom