Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

Kitendo cha kuwaachia huru wenye kifungo cha maisha na wauaji ni ishara kuwa mhimili wa mahakama unahukumu kesi bila kuchunguza ukweli halisi.

Mahakimu elimu yao haijawasaidia.

Je, kuna watu wangapi wenye kesi za kulawiti? Mbona hawajatoka au kwa kuwa sio maarufu?

Deo Kisandu
 
ni uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo mkuu.hii ndo sera mama dunian
1/elimu
2/elimu
3/elimu
 
Tunatoa wenye kumeki kiki kitaani, mf, mzee wa miaka 80, 90 na mastaa wa bongo kwa mf, lulu, wema, diamond na akina babu seya! Sasa hawa wengine kesi zao hazijulikani na ndio wengi kuliko wafungwa wengine, ukiwauliza watakuambia hawaelewi walivyofungwa
 
Mwenye makosa ndiye anayesamehewa,mh Rais hajasema kawasamehe kwa kuwa mahakimu na majaji ni mazwazwa waliowafunga watu wasiokuwa na hatia.
 
Kitendo cha kuwaachia huru wenye kifungo cha maisha na wauaji ni ishara kuwa mhimili wa mahakama unahukumu kesi bila kuchunguza ukweli halisi.

Mahakimu elimu yao haijawasaidia.

Je, kuna watu wangapi wenye kesi za kulawiti? Mbona hawajatoka au kwa kuwa sio maarufu?

Deo Kisandu
None sense,, kwani walioachiwa ni walawiti pekee yao?
Au hakuna makundi mengine ya watu walionufaika na msamaha huo?
Piga mswaki kwanza ndo useme,
 
None sense,, kwani walioachiwa ni walawiti pekee yao?
Au hakuna makundi mengine ya watu walionufaika na msamaha huo?
Piga mswaki kwanza ndo useme,
Bavicha ilikuwa ya heche wengine hawa bangi tu wala usisumbuke nao
 
Msamaha wa rais haufuti jinai walioitenda,chuki na athari walizosababisha kwa watoto wasiokuwa na hatia lakini zaidi laana toka kwa mwenyezimungu haitowaacha.
 
Back
Top Bottom