Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

Nampongeza sana mh Rais kwa kuwasamehe Papii Kocha na Nguza Viking. Ubinadamu umuingie pia kwa wapinzani wa kisiasa akifahamu kuwa kutofautiana mawazo si uadui, bali njia boda sana ya kujenga Mustakabali...
 
Watu kam nyinyi sijui ni wa aina gani hapa duniani.Mange awe nabii nani kakudanganya?swala la babu seya kila mtu alikua anaongea hapa nchini afu we useme Mange aitwe Nabii??people wengine sijui mlitokeaga wapi

Hao team Mange kasema ni wapumbavu tu.

Huyo shujaa wao hata akitabiri kuwa kesho jua litawaka na likawaka kweli watampongeza licha ya kwamba karibu kila mtu anajua hivyo ndo itavyokuwa.
 
Nampongeza sana mh Rais kwa kuwasamehe Papii Kocha na Nguza Viking. Ubinadamu umuingie pia kwa wapinzani wa kisiasa akifahamu kuwa kutofautiana mawazo si uadui, bali njia boda sana ya kujenga Mustakabali...
Uchwara anatafuta kick mkuu hapendi kukosolewa
 
Back
Top Bottom