Mwanamume afanyeje asipigiwe mkewe?

Amen mkuu [emoji120]
 
......au nasema uongo ndugu zangu.....
Haya;
Nipeni Gwajima
Nipeni Gwajima
Nipeni Gwajima
Nipeni Gwajima
 
Ukigongewa tafuta na ww nyonge umgongee, inapunguza maumivu
 
Inategemea na ulivyo.
Binafsi wangu hawezi hata kuwaza kuchepuka
Kwa sababu ananijua vyema na kingine ni wewe mwanaume kutengeneza mazingira mazuri ya mwanamke kuishi kiasi ya yeye akifikiri kuchepuka anawaza jinsi atakavyo haribu uhusiano wenu na kama mpo na watoto pia.

Mwanamke anahitaji upendo sana.
Anahitaji ukorofi sana
Anahitaji kichapo kwa kiasi
Anahitaji azibuliwe sikio la tatu.

Na usipende kumpa kila kitu unajidanganya .
Msimamie kwa kila jambo,mfanye mtoto kwako
Muulize kila kitu


Na ukitaka atulie zaidi kuwa na kipindi cha umbea na mastory either ya kazini or mtaani.

Sometimes unambadilikia kisawasawa mpaka anawaza leo naweza chinjwa huku ndani.

Ni mengine mengi.
 
🎵🎵Malighafi ya suruali sio boxer,
Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa🎵🎵🎵
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…