Mwanamme 'emotional'

Mwanamme 'emotional'

Kwenye relationship naamini kwenye kukamilisha jig saw puzzle. Where he is weak hata kama nami nilikuwa weak i will make sure that i become strong. I wouldnt mind kumshikilia mkono na kumpa reassurance kwamba tutavuka hili pia. By the way nitajiona mwenye bahati kwa angalau kujua emotions zake. Manake hata mimi binafsi unaweza kunipita na combats zangu na kofia kumbe chini ya kofia nalia kama mamba alielambishwa pilipili. Na nikifika kwa ninaempenda nitaubwaga moyo na kulia hadi makamasi!

Sina tatizo na mtu anayewasilisha dukuduku lake (though sina uhakika kama nimetumia neno sahihi), kwani naamini tutafikia kwenye hiyo level ya kupeana moyo kuwa tutavuka pamoja. Tatizo ni pale husband anaporudi nyumbani akiwa amekutana na challenge huko kwenye mishemishe zake, anakuja kuibwaga nyumbani kwa machozi na kwikwi juu! Yeuuwi...jamani!
 
kama unakumbuka hiyo 'OMG'
ilikuwa maarufu sana with a certain tv series which was also no 1 with women
so najua maana yake
actually i said it as a joke first,
you guys are speaking Chinese....anyway it is rare that am left out. Congrats
 
Mimi limwanaume linaloficha hisia silitaki.

Basi wewe Bishanga atakufaa sana maana yeye kidogo tu chozi debe!

Kuna siku moja aligundua kuwa mkewe anashinda kwenye whatsapp na mimi acha alie. Wiki nzima hakupata usingizi hadi nikamuonea huruma ingawa I don't like him.
 
Last edited by a moderator:
dah, mwanamme analia yule sijawahi ona.

Mie nimekulia Tandale, kukushikia bisibisi sifikirii mara mbili, full ngangari. Nachoka kubembeleza jamani.

Sasa siku nikistua nje akanigundua?(sijapanga kustua ila yu neva noo)

ahahahahahha hakuna rangi tutaacha kuona!
yani we acha tu!
lakin sasa tutafanyaje na konnie ni wetu kwa shida na raha!
mi navumlia tu mwenzangu unafkir ubridemaid siutaki!
so wacha tubrainstomishe tuuuu mwisho wa siku to mek an easy way kwa zombie!
 
dah, mwanamme analia yule sijawahi ona.

Mie nimekulia Tandale, kukushikia bisibisi sifikirii mara mbili, full ngangari. Nachoka kubembeleza jamani.

Sasa siku nikistua nje akanigundua?(sijapanga kustua ila yu neva noo)
Kongosho habari za leo nimekumiss saana.
 
Last edited by a moderator:
mie mzima hofu na mshaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu.

Kila nikikumiss namaliza kichane cha ndizi, hebu nipe mwanga wa hii mada.

Kongosho habari za leo nimekumiss saana.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume tukisoma hii thread na kuielewa na kuona michango ya dada zetu toka mwanzo kabisa tutagundua kuwa wanapenda kuwa under control na wanajifeel kuwa safe zaidi,na ndicho nilichogundua always mshow mwanamke kama wewe mwanaume na anytime unaweza kufanya maamuzi magumu......na kingine wanapenda wanaume wakali sio muda wote kucheka cheka na kulia kulia
 
Ndio maana huwa wanachezea makofi kwangu na kesho wanapiga simu eti 'I still love you but you need to be gentleman ' na graph ya mapenzi inapanda. Just been a man meeeeeen! ! Don't let them change who you are watakuona demu mwenzao
 
Mkuu wangu kumbe tupo wengi, ndio hivyo inabidi maana hawa ukicheka nao sana watakuendesha vibaya sana,I do the same na naona love kila siku inazidi kuwa strong na anasema yupo happy kwa jinsi nilivyo mkali hamna mambo ya kijinga jinga na dharau hakuna.....respect kwa wanaume wote wenye msimamo
 
Heri ya Juma Kuu!

Ama baada ya salamu, naomba kurudi kwenye mada ya leo.

Hivi unapojikuta una mwanamme emotional kuliko wewe mwanamke unafanyaje?

Mwanamme ambaye hisia zake ni 'delicate' kama mtoto mchanga, si kwamba ana pretend ni kweli anakuwa anaumizwa na mambo ambayo mwingine naona ni madogo sana.

Maisha yanakuwaje pale mke anapokuwa 'strong' kihisia kuliko mwanamme?

Iwe msiba, ugonjwa, matatizo ya ndoa ya kawaida na makubwa.

Je, watoto wa kiume wanaolelewa na mama zao wanakuwa 'emotional'

Mbaya zaidi ikitokea pale mfano mzazi katangulia mbele ya haki, kuna baadhi anamfanya mke kuwa mke na mama.
Mmh, inakuwa ngumu zaidi kum-handle, natishika nikiwaza, je ikitokea ukamchit si anaweza kujimaliza?

Hebu wanamme na nyie nisaidieni.

Kongosho mambo..
Mweh et emotional..hahaha ukimkanyaga bahati mbaya anapiga ukunga..hmmm
akiangalia movie za kusikitisha lazima enkachifu pembeni..apo wamekuja wadogo zako wakike kukujulia hali..mnachek movie au tamthilia za telemundo mjamaaa machozi..
Uwiii wanamme waneumbwa kujikaza bana. Agggh
weird n funny!! Hahahh
 
Last edited by a moderator:
By Bondpost

Ndio maana yake mazee
 
Ndio maana yake hawa viumbe huwezi wajua until you become strong to what you believe. Ukicheka nao wanakuona demu mwenzao that's why tunaamini mwalimu wao ni kipofu
 
ha ha ha, umenichekesha.

Eti anapiga ukunga!!!

Mie nilitaka kujua jinsi ya ku-cop ukijikuta una mtu delicate.

Kongosho mambo..
Mweh et emotional..hahaha ukimkanyaga bahati mbaya anapiga ukunga..hmmm
akiangalia movie za kusikitisha lazima enkachifu pembeni..apo wamekuja wadogo zako wakike kukujulia hali..mnachek movie au tamthilia za telemundo mjamaaa machozi..
Uwiii wanamme waneumbwa kujikaza bana. Agggh
weird n funny!! Hahahh
 
Last edited by a moderator:
dah, mwanamme analia yule sijawahi ona.Mie nimekulia Tandale, kukushikia bisibisi sifikirii mara mbili, full ngangari. Nachoka kubembeleza jamani.Sasa siku nikistua nje akanigundua?(sijapanga kustua ila yu neva noo)
hii ni moja ya sababu ambayo lecturer alipigwa chinifor me i cant tolerate that mwanaume mwanaume tu mwanaume lia lia piga magoti kila kitu mpaka mke atoe uamuzi noo i need some1 who is challenging Asprin upo??nimekumisije
 
Last edited by a moderator:
Heri ya Juma Kuu!

Ama baada ya salamu, naomba kurudi kwenye mada ya leo.

Hivi unapojikuta una mwanamme emotional kuliko wewe mwanamke unafanyaje?

Mwanamme ambaye hisia zake ni 'delicate' kama mtoto mchanga, si kwamba ana pretend ni kweli anakuwa anaumizwa na mambo ambayo mwingine naona ni madogo sana.

Maisha yanakuwaje pale mke anapokuwa 'strong' kihisia kuliko mwanamme?

Iwe msiba, ugonjwa, matatizo ya ndoa ya kawaida na makubwa.

Je, watoto wa kiume wanaolelewa na mama zao wanakuwa 'emotional'

Mbaya zaidi ikitokea pale mfano mzazi katangulia mbele ya haki, kuna baadhi anamfanya mke kuwa mke na mama.
Mmh, inakuwa ngumu zaidi kum-handle, natishika nikiwaza, je ikitokea ukamchit si anaweza kujimaliza?

Hebu wanamme na nyie nisaidieni.

Speakin from experience mimi nimelelewa na mama na nilikuwa so 'emotional' at first but life is bitch and i had to learn the hard way dat being so emotional doesnt help!,my advice to women ambao wapo na emotional men ni kuwa handle with care na kujaribu kumbadilisha taratibu,usimdharau kwa kuwa emotional.
 
Back
Top Bottom