Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
- Thread starter
- #21
Asante, angalau umenipa mawazo chanya.
Nadhani wanavipa vitu maana kuliko uhalisia. Kama akipenda mtu anampenda mnoo, unaweza tamani kuomba POOO.
Nadhani wanavipa vitu maana kuliko uhalisia. Kama akipenda mtu anampenda mnoo, unaweza tamani kuomba POOO.
::
Kongosho
Mwanaume emotional ni zao la malezi,,too much anxiety,,low self esteem na stress.
Watu hawa wanapokuwa na tatizo hili wanahitaji kuwa na psychrists mapema.
::
Mwanamke unapopata zawadi ya kuwa na mwanaume wa aina hii,na ukawa strong..fanya yafuatayo kumsaidia
1.Kuwa postive ktk kauli zako.
2.Jitahidi kumsifia maana neno dogo toka kwa mke wana exaggerate ili kulipatia maana nyingi.Ila sifa ni dawa kwao.
3.Mwambie asiweke dunia ktk moyo wake bali Dunia imuweke ktk moyo wake.
=
Last edited by a moderator: