Mwanamme 'emotional'

Mwanamme 'emotional'

hata mie sitaki kumdharau, nataka kujuajinsi ya kumsaidia.

Ungenipa abc's chache ningefurahi kwa ajili ya wanajukwaa kwa ujumla.

Speakin from experience mimi nimelelewa na mama na nilikuwa so 'emotional' at first but life is bitch and i had to learn the hard way dat being so emotional doesnt help!,my advice to women ambao wapo na emotional men ni kuwa handle with care na kujaribu kumbadilisha taratibu,usimdharau kwa kuwa emotional.
 
Back
Top Bottom