Habari,
Pole Kongosho ama Pangrease
Kuna makundi makubwa ya manne ya tabia za watu, ambayo huchangamana ,mix na kuunda makundi mengine madogo manane. Kila mtu hujikuta akaangukia ktk kundi fulani ama lingine.
Kwa wastani watu wengi hujikuta wakipendana makundi tofauti, ndo huleta ukamilifu mzuri, kwa mfano mwanamke mcheshi mwongeaji si ajabu akajikuta ktk mikono ya mwanaume mkimya asiye ongeaongea,
Haya makundi ya watu yana tabia ama sifa tofauti, nzuri na mapungufu vilevile, Lakini mapungufu yaweza kuwa shaped ama learned na ama kukabiliwa na kufanywa strengths.
Ki msingi sifa za mwanaume ama sifa za mwanamke ni matokeo ya matarajio ya kijamii tu, ukiondoa yale ya kibaiologia wanaume na wanawake wote waweza kuwa amastrong ama weak, emmotional ama blunt emotionally.
Kukusaidia;Ondoa fikra kwamba mwanaume kuwa emotional ni weakness, sio lazima. Wewe kama uko relatively uni emmotional then you are the best match kwa huyo mwana ume. However kabla hamjawa pamoja nataraji kuwa mlitumia sometimes kuwa pamoja kusomana kitabia mkaona mnaendana then mkachukuana. Kuanza kumwona kwamba yoko too emmotional kwa weza kuleta mashaka kuwa kuna watu bora umekwisha waona, kwa mtazamo wako lakini, hasa kazini, ama sehemu zingine ambako watumia muda wako mwingi.
Pili waweza tembelea wanasaikolojia, washauri, ambao maranyingi nawaona ktk baadhi ya makanisa, au utafute vitabu kwa mfano 'why do you act the way you do" nimemsahau mtunzi; utaweza kujua mapungufu na strengths zako na mwenzio na jinsi ya kuchukuliana kuyafanya mapungufu yawe strengths.
Tatu, kama yuko mwepesi ku express emmotions, ndo mzuri, hawezi kukaa na shida usijue, ukimmuudhi kama akilia ndo imekwisha, hawezi kupata stress, unaweza ukambembeleza ndo upendo huo, akisha nyamaza umwambie jamani usilie kirahisirahisi hivyo we mwanaume. Mheshimu kama mume wako, kama unamshinda kipato mpe au mpange pamoja matumizi, aongeze kujiamini, msifiesifie hata katika ujinga.
Vilevile angalia familia anakotokea alilelewa vipi, wazazi wake wapo? alilelewa nawalezi wengine? ni mtoot wa mwisho ama wa kwanza, kipato cha wazazi wake kkilikuwaje vyote hivyo vyaweza kuangaliwa na kusaidia kujua chanzo na hata kurekebisha
Mwisho; usiwe also optimistic kwamba utambadilisha, anzakujifunza kuishi nae hivyohivyo hata kkifo kitakapowatenga,
Soryy kwa story ndefu na kuchanganya lugha alam