Mwanamke wa makamo anataka kuniharibia kwa msichana wangu

Mwanamke wa makamo anataka kuniharibia kwa msichana wangu

Young,hot and crooked!![emoji32][emoji32][emoji32].....endelea kula ujana ila amen amen nakuambia gharama yake ni kubwa,you won't able to pay it!!
 
Vijana wenzangu,si kila chakula kilicho mbele yako ule wew,umekula mtu sawa na maza ako ,shame on u,ndyo maana hata mikos haiishi,pesa zinapitiliza mnalaum John kabana kumbe ujinga ujinga kamà huu.

Komaa nae ikiwezekana muoe,spendi ujinga huuo
 
Naona umeshayachoka marinda yako, saa pambana na hali yako mkuu, mbona hujasema umekula vyake vingapi?
 
mkuu acha uzembe
Huyo mmama anakupenda na anapenda unavyomtia dudyu..kifupi mwambie na ww huezi muacha ila kubalianeni iwe siri;mkikutana mnatiana kimyakimya
 
kama una picha zake chafu mwambie siku akikuchomea na wew unasambaza picha zake kwenye social network hapo lazima akuogope na ww mwambie mke wako ukwel jinsi ilivyo ili asije kusikia kwa jirani
 
1.jpg
 
Natumaini wote ni wazima wana MMU
kama miezi 2 iv iliyo pita alikuja mama 1 wa makamo na mume wake ofisini kwangu walikuwa na matatizo nika wasaidia. Mwishoni yule mama nka mpa namba kama ana shida ani tafute au kama tatizo lake halita kwisha awe huru kuni tafuta. She is 35-40.
baada ya kama week 2 aka nitafuta akiwa na tatizo lingine nka mpa ushauri , hapo ndipo alipo anzisha mawasiliano na mm aka funguka kuwa ame tokea penda ukarimu wangu maneno mengi mengi mwisho wa siku aka niomba ni tuanzishe mahusiano kwan mr wake ana matatizo NOTE mm ni( 22-24)
Siku taka ilazia damu hii fursa kwani ninge onekana ommydimpoz.
Ad saiv nmesha kutana naye kitandani kama mara 3 iv. Kinacho ni fanya ni fungue huu uzi ni kwamba saiv nme pata mwanamke ambye ni agemate nataka achana na uyo mama maana pia na hofia usalama wangu na mumewe naye ana ni fahamu. Jimama lime goma na lina ni tishia kuni chomea kwa mumewe na kuni haribia kwa mtu wangu mpya. Nime baki njia panda ni fanye nn??? Je niji salimishe kusema ukwel kwa mume wake!?? Au ni endelee naye??
NOTE: nina pc zake chafu chafu je nizi tumie kama ngao..!?
Mchango wenu wana MMU !!!
Wakat unamkubali alikushaur nani
 
Back
Top Bottom