Mwanamke wa makamo anataka kuniharibia kwa msichana wangu

Mwanamke wa makamo anataka kuniharibia kwa msichana wangu

Sasa Ukisema Wewe Ni 22-24 Unahisi Umeficha Nini Haswa?!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuhusu kupima ilo halina shida tunajua status yetu. Nafasi yaku mwacha pole pole sina tena maana nlisha mchana na nina week nime mute si msemeshi.
Wanawake wana shida kabisa jmn, hiw dare that tofauti kumng'ang'ania kijana wa wwnyewe[emoji87] [emoji87] [emoji85]
 
Boya kweli...unatembea namabibi kutongoza huwezi?unazidiwa hata na wazee wanaotembea na agemate zako
 
Sasa Ukisema Wewe Ni 22-24 Unahisi Umeficha Nini Haswa?!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimetoa range... siyo nmeficha.
 
Back
Top Bottom