definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
- Thread starter
- #101
😵22-24 age unafanya ujinga huo. F**ck you.
😵22-24 age unafanya ujinga huo. F**ck you.
Atakua vampireMimi ni 22- 24?
Ndio nini sasa?
Mpe Mimba Tu najua litakuwa na hela kuliko wewe litakununulia Rav4 nalitakuwa linakupa laki tano kwa wiki... Si upo Dar.. Hiyo ndiyop habari ya MjiniNatumaini wote ni wazima wana MMU,
Kama miezi 2 hivi iliyopita alikuja mama 1 wa makamo na mume wake ofisini kwangu walikuwa na matatizo nikawasaidia.
Mwishoni yule mama nikampa namba kama ana shida ani tafute au kama tatizo lake halita kwisha awe huru kuni tafuta. She is 35-40.
Baada ya kama week 2 akanitafuta akiwa na tatizo lingine nikampa ushauri, hapo ndipo alip anzisha mawasiliano na mimi akafunguka kuwa ametokea penda ukarimu wangu maneno mengi mengi mwisho wa siku aka niomba ni tuanzishe mahusiano kwani umri wake ana matatizo 'note' mimi ni( 22-24)
Sikutaka ilazia damu hii fursa.
Hidi saivi nimeshakutana naye kitandani kama mara 3 hivi. Kinachonifanya ni fungue huu uzi ni kwamba saivi nimepata mwanamke ambaye ni agemate nataka achana na huyo mama maana pia nahofia usalama wangu na mumewe naye ananifahamu.
Jimama lime goma na lina ni tishia kunichomea kwa mumewe na kuniharibia kwa mtu wangu mpya. Nimebaki njia panda ni fanye nini? Je nijisalimishe kusema ukweli kwa mume wake? Au ni endelee naye?
NOTE: Nina picha zake chafu chafu je nizitumie kama ngao?
Mchango wenu wana MMU
Nme kusoma mkuu.ama kweli wewe ni under 25, hivi ushajiuliza mumewe akijua ata react vipi na hizo habari tena umeshamla mara 3....hapo inazidi utumie akili kifikili sio hisia..
kama mlivyoanza ndio mtaachana nyie wawili tu bila kumhushisha mumewe...mwambie hakuna kinachaanza kisipo na mwisho na huu ndio mwisho wenu.
kumwambia mwisho ni mpaka kwa vitendo akiwemo kukatisha mawasiliano yote na kutoonana nae tena.
kwamba atamwambia mumewe anakutishia tu maana yeye ndie ataadhirika zaidi labda kama uliwai kumuahidi akiachana na mumewe utamchukua mazima.