nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,042
- 12,732
Jipige kisu ya tumbo uage dunia mkuu,
alafu tuone hilo jimama litakua limemkomesha nani

Mimi ni 22- 24?
Ndio nini sasa?
Jipige kisu ya tumbo uage dunia mkuu,
alafu tuone hilo jimama litakua limemkomesha nani
Mkuuu tumia njia hamia mobeto... ... Mtishie kusamba mipicha kunako mahakama ya maceleb' INST'
Unajua masugarmummy yana uzuri wake na ubaya wake pia!!! Nakumbuka enzi zangu nikiwa o level nishawahi kufungiwa hotelini na mmama mmoja hivi na nguo zangu akafungia kwenye gari yake parking ipo chini,room ipo juu floor ya 5,wiki nzima nilikuwa napigishwa kwata tu[emoji17] [emoji17] [emoji17] nilikoma aisee!!! mungu anisamehe sana,nimetenda dhambi nyingi...Natumaini wote ni wazima wana MMU,
Kama miezi 2 hivi iliyopita alikuja mama 1 wa makamo na mume wake ofisini kwangu walikuwa na matatizo nikawasaidia.
Mwishoni yule mama nikampa namba kama ana shida ani tafute au kama tatizo lake halita kwisha awe huru kuni tafuta. She is 35-40.
Baada ya kama week 2 akanitafuta akiwa na tatizo lingine nikampa ushauri, hapo ndipo alip anzisha mawasiliano na mimi akafunguka kuwa ametokea penda ukarimu wangu maneno mengi mengi mwisho wa siku aka niomba ni tuanzishe mahusiano kwani umri wake ana matatizo 'note' mimi ni( 22-24)
Sikutaka ilazia damu hii fursa.
Hidi saivi nimeshakutana naye kitandani kama mara 3 hivi. Kinachonifanya ni fungue huu uzi ni kwamba saivi nimepata mwanamke ambaye ni agemate nataka achana na huyo mama maana pia nahofia usalama wangu na mumewe naye ananifahamu.
Jimama lime goma na lina ni tishia kunichomea kwa mumewe na kuniharibia kwa mtu wangu mpya. Nimebaki njia panda ni fanye nini? Je nijisalimishe kusema ukweli kwa mume wake? Au ni endelee naye?
NOTE: Nina picha zake chafu chafu je nizitumie kama ngao?
Mchango wenu wana MMU
HahahahAnzisha kampeni ya kumfilisi mwenyewe atakukimbia..[emoji23][emoji23]
True kwa hili nakuunga mkono,tuliopitia ndo tunayajua haya majangaDogo, tega sikio.
1. Hawezi kukuchomea kwa Mume wake, akikwambia tena mwambie nitaonesha picha zote. Zitumie kama ngao kumtisha huyo mama.
2. Usijaribu kumuonesha mumewe, utaumia. Nakuhurumia sana wewe na maisha yako.
3. Mwambie mama unahitaji kuoa. Hivyo lazima uwe na mtu wa Sawa yako, coz huwezi muoa huyo mama.
4. Tambua uko hatarini muda wote, kwa kutembea na mke wa mtu. Siku ukikutwa, itakuwa Bonge la soo.
Ingekuwa through the phone, ningekupa njia nyingi. Maana nakuelezea haya kwa kuwa ndizo njia nilizokuwa nikitumia kujinasua. Ila ni ngumu mno kuachiwa na wamamama hawa.
Bora hata wewe, Mimi sikuwa naambiwa kama wameolewa. Ila ninapogundua tu, huwa naanza kujinasua labda kama anatokea mkoa mwingine tofauti na nilipo.
Vipi we umezoea wa miaka 60-70Saiv,nmepata.mwanaume huwa haongei hivyo. Halafu 35-40 sugar mammy du?kuanzia 40 itakuwaje?.hebu kachukue ushauri kwa mondi.
Natumaini wote ni wazima wana MMU,
Kama miezi 2 hivi iliyopita alikuja mama 1 wa makamo na mume wake ofisini kwangu walikuwa na matatizo nikawasaidia.
Mwishoni yule mama nikampa namba kama ana shida ani tafute au kama tatizo lake halita kwisha awe huru kuni tafuta. She is 35-40.
Baada ya kama week 2 akanitafuta akiwa na tatizo lingine nikampa ushauri, hapo ndipo alip anzisha mawasiliano na mimi akafunguka kuwa ametokea penda ukarimu wangu maneno mengi mengi mwisho wa siku aka niomba ni tuanzishe mahusiano kwani umri wake ana matatizo 'note' mimi ni( 22-24)
Sikutaka ilazia damu hii fursa.
Hidi saivi nimeshakutana naye kitandani kama mara 3 hivi. Kinachonifanya ni fungue huu uzi ni kwamba saivi nimepata mwanamke ambaye ni agemate nataka achana na huyo mama maana pia nahofia usalama wangu na mumewe naye ananifahamu.
Jimama lime goma na lina ni tishia kunichomea kwa mumewe na kuniharibia kwa mtu wangu mpya. Nimebaki njia panda ni fanye nini? Je nijisalimishe kusema ukweli kwa mume wake? Au ni endelee naye?
NOTE: Nina picha zake chafu chafu je nizitumie kama ngao?
Mchango wenu wana MMU
Hizo ndo sehemu zinazo ongoza kupata skert. Kaa kijiweni kama utawahi otea mkuu.Wenye ofisi zenu kumbe wake zetu wakija mnafanya haya unayo sema ni fursa kweli uvulana ni garama sana kuuacha
Mimi ndio mume wake andaa kaulotion tuVipi we umezoea wa miaka 60-70
Unajua masugarmummy yana uzuri wake na ubaya wake pia!!! Nakumbuka enzi zangu nikiwa o level nishawahi kufungiwa hotelini na mmama mmoja hivi na nguo zangu akafungia kwenye gari yake parking ipo chini,room ipo juu floor ya 5,wiki nzima nilikuwa napigishwa kwata tu[emoji17] [emoji17] [emoji17] nilikoma aisee!!! mungu anisamehe sana,nimetenda dhambi nyingi...
Mkuu unataka kuniambia ofisi ni kivutio cha sket je unajilindaje kiuchumi maana starehe garamaHizo ndo sehemu zinazo ongoza kupata skert. Kaa kijiweni kama utawahi otea mkuu.
Mkuu unataka kuniambia ofisi ni kivutio cha sket je unajilindaje kiuchumi maana starehe garama
Sawa mkuu sisi tuna msemo unaosema unacho panda ndicho utakacho vunaStarehe siyo gharama mpaka pale utakapo taka ifanya iwe gharama.