Mwanamke wa makamo anataka kuniharibia kwa msichana wangu

Mwanamke wa makamo anataka kuniharibia kwa msichana wangu

kama una picha zake chafu mwambie siku akikuchomea na wew unasambaza picha zake kwenye social network hapo lazima akuogope na ww mwambie mke wako ukwel jinsi ilivyo ili asije kusikia kwa jirani
Sina mke mkuu.
 
Dogo, tega sikio.
1. Hawezi kukuchomea kwa Mume wake, akikwambia tena mwambie nitaonesha picha zote. Zitumie kama ngao kumtisha huyo mama.
2. Usijaribu kumuonesha mumewe, utaumia. Nakuhurumia sana wewe na maisha yako.
3. Mwambie mama unahitaji kuoa. Hivyo lazima uwe na mtu wa Sawa yako, coz huwezi muoa huyo mama.
4. Tambua uko hatarini muda wote, kwa kutembea na mke wa mtu. Siku ukikutwa, itakuwa Bonge la soo.

Ingekuwa through the phone, ningekupa njia nyingi. Maana nakuelezea haya kwa kuwa ndizo njia nilizokuwa nikitumia kujinasua. Ila ni ngumu mno kuachiwa na wamamama hawa.
Bora hata wewe, Mimi sikuwa naambiwa kama wameolewa. Ila ninapogundua tu, huwa naanza kujinasua labda kama anatokea mkoa mwingine tofauti na nilipo.
 
I

Ingekuwa ww unge acha ilo zali mkuu..!?? Wanawake wana sumu mbaya sana mkuu hawa chelewi geuza kibao kwako.
Kwahiyo wewe uliona hilo ni zali!

Unayajua mazali wewe?
Kama uliona ni zali kwanini unakuja kulia lia hapa?
Si uendelee na zali lako!
 
Acha ushetani huo na huyo mama.

Anakupiga mikwala tu hawezi kufanya chochote.

Bado kijana sana unaweza kupoteza maisha

Inaonekana unempenda
 
Dogo, tega sikio.
1. Hawezi kukuchomea kwa Mume wake, akikwambia tena mwambie nitaonesha picha zote. Zitumie kama ngao kumtisha huyo mama.
2. Usijaribu kumuonesha mumewe, utaumia. Nakuhurumia sana wewe na maisha yako.
3. Mwambie mama unahitaji kuoa. Hivyo lazima uwe na mtu wa Sawa yako, coz huwezi muoa huyo mama.
4. Tambua uko hatarini muda wote, kwa kutembea na mke wa mtu. Siku ukikutwa, itakuwa Bonge la soo.

Ingekuwa through the phone, ningekupa njia nyingi. Maana nakuelezea haya kwa kuwa ndizo njia nilizokuwa nikitumia kujinasua. Ila ni ngumu mno kuachiwa na wamamama hawa.
Bora hata wewe, Mimi sikuwa naambiwa kama wameolewa. Ila ninapogundua tu, huwa naanza kujinasua labda kama anatokea mkoa mwingine tofauti na nilipo.
Nashukuru broh.
 
Huyo mama hana lolote Zaid ya kuogopa kukosa dozi tako ndio maana anakutushia ivo Lakin in reality unaweza mpiga chini na nothing will change kuwa na msimamo katika mahusiano usije ishia kutolewa bure

2logM@km
 
Saiv,nmepata.mwanaume huwa haongei hivyo. Halafu 35-40 sugar mammy du?kuanzia 40 itakuwaje?.hebu kachukue ushauri kwa mondi.
 
Hukustahili kuwa ofisini basi tu ilaumiwe mifumo yetu maana ni mibovu.
 
Mkuu siku hizi kuna vidume vinakodishwa kwa ajili ya kutoa marinda wala wake za watu.. utakamatwa na vidume vinne vinayafumua hapo ndo utatia akili.. kumbuka mumewe anaweza kuwa ameshanotice mabadiliko fulani kwa mkewe, na anafanya uchunguzi wa kimya kimya chini chini.. siku ukiwaa nae lodge unapata hiyo supraiz visit ya vijeba.. usiache kuleta mrejesho kama ukitoka salama
 
Mkuuu tumia njia hamia mobeto... ... Mtishie kusamba mipicha kunako mahakama ya maceleb' INST'
 
Back
Top Bottom