Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
ok.......
mmmmmmh
Cha asbh kimehusika leo mapema hivi.
Niko single
Kazi kweli kweli!!!!! Haya tuwaacheee walalee
Niko single
Niko single
Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....
Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa.
Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu" hahahahahaha
Hili neno,walikutana walevi wawili hao aliye timamu hathubutu kuweka dhahiri ya siri.Huyo atakuwa alikuwa na lager zackutosha kichwani,si bure hapa!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Wewe unayaweza hayo ya Kitanga?