majukumu dadangu yalinizidi. Wamekosa la kufanya wanakuja kutushambulia humu...urembo wetu usiwe tabu..wakome..
mdada umepotea kweli
wanatushambulia na kabila letu
hebu watuachage tupumue maana
tunawanyima usingizi hahahaaaa!!
majukumu dadangu yalinizidi. Wamekosa la kufanya wanakuja kutushambulia humu...urembo wetu usiwe tabu..wakome..
ni kweli mmejaaliwa mpaka huruma ndo maana hamumkatai mwanaume yeyote anayewajaribisha hata kwa utani tu.
watuwachage tumupumue
kujaaliwa isiwe tabu!!
ni kweli mmejaaliwa mpaka huruma ndo maana hamumkatai mwanaume yeyote anayewajaribisha hata kwa utani tu.
Haloo si kabila la kuoa huo ndo ukweli hao wanawezana wenyewe!
SABABU
1. Hawatosheki hata umpe kucha kutwa atagawa tu! HAWAOMBWI HAO!
2. Majani ya chai ndo mpango mzima.
3. Utakosanishwa hadi na wazaz na ndg zako
4.UKIJENGA UKAWA NA KA GARI
anatamani UAGE DUNIA HARAKA ARITHI!
TENA ANAKUHARAKISHIA.
5.WABINAFSI na ROHO MBAYA!
miye NINA MZIO NA KABILA HILO!

ukimaliza utafiti wako usikose kuja huku kutupatia majibu ya utafiti wako, usiwe kama jeshi letu la polisi linalofanya utafiti ila halitoi majibu...nshajua methodology utakayotumia though!Hivi hawa wanawake wa Kirangi tangu mmeanza kuwasema hapa bado tu hawajabadilika?
Mi nikiwasoma dismynder1 na Ye Soya naona kama wanawake wa Kirangi wako poa sana. Nina mpango wa kutembelea Kondoa hivi karibuni bila shaka nitajitahidi kufanya ka research kadogo!
Hivi hawa wanawake wa Kirangi tangu mmeanza kuwasema hapa bado tu hawajabadilika?
Mi nikiwasoma dismynder1 na Ye Soya naona kama wanawake wa Kirangi wako poa sana. Nina mpango wa kutembelea Kondoa hivi karibuni bila shaka nitajitahidi kufanya ka research kadogo!
ukimaliza utafiti wako usikose kuja huku kutupatia majibu ya utafiti wako, usiwe kama jeshi letu la polisi linalofanya utafiti ila halitoi majibu...nshajua methodology utakayotumia though!
bora uende ukafanye research
ila ukiangukia kwa mashushu wa kondoa
mjini unalo nenda vijijini watoto wanapofundishwa
maadili mweeeeh!!
Hahahahahaaaaaa dismynder1 nipe kampani basi ili nisije kupelekwa chaka na wajanja wa Kondoa town. Au twende wilaya mpya ya Chemba?!
Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu
hilo tu usijali kabisa
mi mwenyewe kwetu ni
kondoa mjini huko chemba napaskia
unipitie twende wote ili tukatembelee wilaya mpya!!
Ewaaaaa mambo si hayo sasa! nipe location yako sasa.