sNdugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu
wahenga wanasema lisemwalo lipo ndugu na kama halipo basi linakuja...huenda kuna ka ukweli mdada!achen kumpotosha mwenzenu ukicheche ni tabia ya m2 mbona kuna wa2 c warang na hawafai hata kwa kurumagia
Wanakeketwa, hawajui kusema hapana. Oa uolee na wenzako, ni ushirikiano wa kichina enzi za Mao Tsung.
mh! Chimunguru, huko unakoenda mbali...kama wana tabia hiyo basi hawafai hata kurumangia kwa ugali...kwa iyo ukioa ujiandae enzi za mwalimu za ujamaa?Na wewe km si mrangi akitokea mrangi mwenzie wa kiume mitaa yenu atakula mzigo!
mh! hebu dadavua ni kitu gani kilimpata huyo tajiri au huyo mwanamke alimfanyia nn ambacho ni cha kumfanya akate tamaa kukutana na hilo kabila!Hawa tabia zao ni mbaya sana:hawapendi kuishi na ndugu wa mume,ni wagonvi sana,hawaridhiki na mume mmoja.kuna jamaa mmoja kule songea tajiri wa kuuza vipodozi alioa mwanamke wa kirangi na kuzaa nae lakini timbwili alilokutana nalo mpaka leo hana hamu ya kuoa tena.
Aya kabila gani lenye tabia nzur
Toba! Kiukweli nimepatwa na woga sana jamani. Sasa sijui tukaoe wapi?
Hahaha, bado nafanya research mkuu! Lakini pia, mke mwema hutoka kwa Bwana!ina maana hujaoa bado?
Nakubaliana na weweHahaha, bado nafanya research mkuu! Lakini pia, mke mwema hutoka kwa Bwana!