Mwanamke wa kirangi

Mwanamke wa kirangi

Status
Not open for further replies.
Kwa msaada wa kumpata huyu bwana nitakudanganya. Ila nakushauri uanzishe thread mpya yenye kichwa cha habari "Namtafuta Bw. Mwigulu Nchemba,ili anisaidie ushauri jinsi ya kupata MKE wa Kirangi". Kila la kheri mkuu.

Hii ndiyo jamii forums bwana! Swali moja, majibu 100!
 
sikiliza kuna mmama mmoja mke wa vehicle mwanza ni kabila hilo
mme wako anamshiko wa maana tu na tena anaonekana hata mzigo .mb.o.o anao mkubwa tu(maana hamkawii kusema labda mr kibamia) kwa sisi wataalamu kwa kumwangalia appearance tunaelewa ni size gani
huyo mke wake kiwembe balaa anavizia vehicle kasafiri au yupo kazini yeye anaingiza serengeti boy na kusema pale ni kwa wazazi wake
zile picha za sebuleni alizopiga na mumewe watoto wake anazitoa na kuzificha tena anamuingiza chumba cha watoto kwa bahati wanauwezo chumba cha watoto nacho kinachoo ndani pia kwa kutoa ofa ya chips kwa salma cone hajambo
pia huyu mrs vehicle anaongoza kwa kwenda kwa mawitchdoctor maana waganga wa mwanza wote kawamaliza
mwingine kuna mpangaji wetu mmoja pale mwananyamala mke wake mrangi naye ni balaa(inasemekama kamlimbwata mumewe)yeye mume akisafiri na yeye kiguru na njia anamaliza gest tu na kama anampenda anamleta kwake kushinda nae mbaya zaidi huyu wavulana wa kijiweni kawamaliza wote+marafiki wa mume wake
kuna siku mumewe alimfumania na mjamaa ndani mwanaume hata kusema hakuongea (labda waliyamaliza kimyakimya ndani mwao)
kuna mwingine nimepanga naye hapa ninapoishi yeye mume wake dereva bodaboda yeye ukimsifia tu aaa mzigo wakwako unamgeuza utakavyo

we kama ni me oa wa kirangi au kama ni me subiri kaka yako aoe hilo kabila kama hujaja hapa kulishtaki hilo kabila

mmh, hata kama ni kweli; haya maneno yanastahili kuletwa hapa JF? Watch your tongue dada @amu!
 
Mkuu mimi huko urangini nimeshakaa kama miaka 3 hivi,nilichogundua kuhusu wanawake hao ni kuwa watulivu sana kwa muonekano anapokuwa na mtu,tatizo anapogundua kuwa kuna mtu anamtaka kimapenzi huwa ni wagumu sana kusema neno haiwezekani,flirting mitaa ile muheshimiwa ni nje-nje,ninacho wasifu ni wa siri sana,anapokuwa na afair ya nje ya mahusiano hamwambii hata rafikiye wa karibu,kwahiyo leakage huwa ni almost impossible labda siku iwe imefika litokee fumanizi.

si wanawake wa makabila yote wapo hivo jamani. Na hata wanaume wa makabila yote wapo hivo pia.
Ni kulinda heshma na kuto mumiza mwenziwake.

hilo la kumwambia rafiki na kuvua vua chupi ni tabia ya watu mapepe, na kila kabila watu kama hawa wapo
 
labda sisi tumezidi ndio maana tunasemwa!
 
Hii thread nahisi kama inakaribia kunivunjia ndoa maana na mme wangu naye yumo humu JF....kila siku naona anabadili tabia tofauti na zamani...sikui kapitia hii thread? warangi tuna kibarua kweli...

ucjal dada we kua mwaminifu na mtiifu hayo mengne yasikukatishe tamaa n tabia, hulka na silka za mtu mwenyew hta km na warang nao n mojawapo lakn na makabila mengne nayo yamo.
 
Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu
kwanza kabisa wana mvuto,wasafi,wamefundwa wakafundika.na sifa kibao njema,kama umemchunguza na ukaona ana tabia njema na anakufaa chukua chombo!
 
ucjal dada we kua mwaminifu na mtiifu hayo mengne yasikukatishe tamaa n tabia, hulka na silka za mtu mwenyew hta km na warang nao n mojawapo lakn na makabila mengne nayo yamo.
warangi tupo juu ye soya ucjali kama kabadilika ana lingine na sio thread coz kabila halihusiani na tabia ya mtu bwana!
 
warangi tupo juu ye soya ucjali kama kabadilika ana lingine na sio thread coz kabila halihusiani na tabia ya mtu bwana!
mfariji mwenzio anaachika vile kama mchezo tu! labda na yeye hajatulia huko ndani kwake...sasa ukiongezea na hii thread lazima jamaa aone kama kuna ukweli fulani vile...kama vipi jirekebisheni tu azawaizi itakuwa ndivyosivyo passion lady!
 
Last edited by a moderator:

mtego wa noti hiyo ni dhana potofu,kabila halihusiani na tabia kabisa,mbona wengi wameolewa na wapo kwny ndoa zao na ni wavumilivu sana?tabia ya mtu ni ya mtu tu na haibadiliki pia huwezi muhukumu mtu kisa kabila,mm binafsi nachukizwa na hilo!tuache kuhukumu kisa ni kabila flani
 
wewe kijana! Taratibu na maneno yako yasiyo na vipimo!
Hii kauli yako sijaipenda hata kidogo!
Iombe radhi kabla ulilotaja.

wala usitoke povu, most of them wako hivyo hawajui kusema hapana, na akiolewa kwenye ukoo wenu basi atahakikisha kawagaia wote, ndiyo maana wanaitwa mke wetu, si mke wangu,. Mimi nahisi huwa wanawadudu huko chini wanatekenya kila saa ndiyo maana wanapenda sana dushelele.
 
kuna mzee mmoja wa kirangi aliwai kuniambia kuwa ukipata mrangi mwenye tabia nzuri utatamani ndugu zako waoe au waolewe na mrangi ila ukipata kimeo utajuta na utotamani kuoa mrangi wa wala kusikia hiloa kabila
 
naona unayosema kama ukweli hivi...unawapa faraja akina Ye Soya na passion lady maana inaonekana ndoazao ziko mashakani kutokana na hii thread.. Ye Soya anasema mme wake kabadilika baada ya kufuatilia hii thread inayomwaga za ndani kuhusu mademu wa kirangi, i wish kama huyo mme angeona hii post yako huenda angebadilisha mawazo!
kuna mzee mmoja wa kirangi aliwai kuniambia kuwa ukipata mrangi mwenye tabia nzuri utatamani ndugu zako waoe au waolewe na mrangi ila ukipata kimeo utajuta na utotamani kuoa mrangi wa wala kusikia hiloa kabila
 
Last edited by a moderator:
wala usitoke povu, most of them wako hivyo hawajui kusema hapana, na akiolewa kwenye ukoo wenu basi atahakikisha kawagaia wote, ndiyo maana wanaitwa mke wetu, si mke wangu,. Mimi nahisi huwa wanawadudu huko chini wanatekenya kila saa ndiyo maana wanapenda sana dushelele.
una maneno makali......ni wote au ni baadhi tu wenye tabia hizo?
 
wala usitoke povu, most of them wako hivyo hawajui kusema hapana, na akiolewa kwenye ukoo wenu basi atahakikisha kawagaia wote, ndiyo maana wanaitwa mke wetu, si mke wangu,. Mimi nahisi huwa wanawadudu huko chini wanatekenya kila saa ndiyo maana wanapenda sana dushelele.
una maneno makali......ni wote au ni baadhi tu wenye tabia hizo? ina maana ukiwa naye tu jiandae kuchangia na ndugu...wanafanya kwa siri au mpaka kila mtu atajua?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom