Mwanamke wa kirangi

Mwanamke wa kirangi

Status
Not open for further replies.
sasa hapo umejifunza nini Setuba Noel? kuwaoa au kuwakimbia hao viumbe?

Nimejifunza na nimeshukuru sijaoa mrangi. Ningekuwa bado sijaoa, hao ndio wangeingia katika list ya "at your own risk", so nisingethubutu. Wahenga walisema lisemwalo lipo, hebu ona comments karibu zote zinavyoonya dhidi ya warangi wa kike. Hii si bure, japo siwajui sana hawa, lakini maonyo yote haya si ya kupuuza. Over 200 posts na karibu zote dhidi yao, si bure!
 
nakuunga mkono kabisa...kwa hiyo tuwashauri walioa hiyo kitu wakimbie kabisa kabla hali haijawa tata?
 
una maneno makali......ni wote au ni baadhi tu wenye tabia hizo? ina maana ukiwa naye tu jiandae kuchangia na ndugu...wanafanya kwa siri au mpaka kila mtu atajua?

SI maneno makali ila wanaboa sana, nakwambia hivyo kwa sababu, mm nina uncel wangu alikuwa anakaa na mdogowake na house boy , pamoja na mtoto wa mama yangu mdogo, ikabidi waweke house gilr wa kirangi, amechanganyika na mbulu,sasa akawa anatembea na uncle mkubwa, baada ya muda akaanza kutembea na mdogo mtu , akaona haitoshi akawa anampa na mtoto wao, pia akiona haitoshi akampa na houseboy, sasa akawa na mimba,mjomba mkubwa akafurahi sana akatangaza kuoa, mjomba mdogo akalalamika kuwa ni demu wake, mtoto naye akasema mimba ni yake aliyefanya watu wakachoka zaidi ni houseboy alipomwambia mjomba mkubwa anataka kumuoa huyo dada kuwa walikuwa na mahusiano na kwa sasa ni mjamzito. EMBU ANGALIA HAPO MTOTO NI WA NANI? NA KUMBE ALIKUWA ANAWAPA SERVICE WANAUME WOTE WANNE NDANI YA NYUMBA MOJA. NA KAMA NI UGONJWA SI WOTE WAMEKUFA? JE HAO UTAWAONAJE
 
ni kweli warangi ni kiboko..mimi kuna ndugu yangu alioa mrangi yule mwanamke akamuacha mumewe akaenda kuishi kinyumba na shemeji yake(mdogo wa mume wake)..
na mwingine tena aliolewa na kakangu kabisa huyu alikuwa na roho mbaya kama mkaanga sumu..hata watoto wake wa kuwazaa anawafanyia uchoyo..alipata kila kitu lakini alikuwa mkondefu mno sbb ya roho ya kwa nini..
mawifi zangu woote tunapatana kasoro huyo wa kirangi tu hajawahi kupendwa na ndugu zetu

juzi juzi ndugu yng mwingine ameoa mrangi, kwa jinsi ninavyowachukia hao watu, hata mchango sijatoa wala harusi sijahudhuria..
kwa kifupi kuoa mrangi ni kujitia mikosi
 
SI maneno makali ila wanaboa sana, nakwambia hivyo kwa sababu, mm nina uncel wangu alikuwa anakaa na mdogowake na house boy , pamoja na mtoto wa mama yangu mdogo, ikabidi waweke house gilr wa kirangi, amechanganyika na mbulu,sasa akawa anatembea na uncle mkubwa, baada ya muda akaanza kutembea na mdogo mtu , akaona haitoshi akawa anampa na mtoto wao, pia akiona haitoshi akampa na houseboy, sasa akawa na mimba,mjomba mkubwa akafurahi sana akatangaza kuoa, mjomba mdogo akalalamika kuwa ni demu wake, mtoto naye akasema mimba ni yake aliyefanya watu wakachoka zaidi ni houseboy alipomwambia mjomba mkubwa anataka kumuoa huyo dada kuwa walikuwa na mahusiano na kwa sasa ni mjamzito. EMBU ANGALIA HAPO MTOTO NI WA NANI? NA KUMBE ALIKUWA ANAWAPA SERVICE WANAUME WOTE WANNE NDANI YA NYUMBA MOJA. NA KAMA NI UGONJWA SI WOTE WAMEKUFA? JE HAO UTAWAONAJE
Mhhhh...huyo sasa alikuwa zaidi ya kawaida..aliwezaje kuwapanga na wao hata hawakujuana? kwa hiyo huo mtindo hata mke wa mtu anaweza kuwa nao sasa maana kama ana tabia hiyo sidhani kama hata akiolewa anaweza kuacha...duuuh! kweli wewe unawafahamu sana hawa viumbe wa kirangi!
 
Shida yake twaijua tuliokaa Kondoa
hebu mwaga kila kitu ulichokiona huko urangini ili wanajamvi wapate faida kamanda! maana kama umekaa huko utakuwa umesheheni taarifa mwanana kuhusu hao viumbe wa kike kutoka urangini!
 
Alaahhhhh mie tena wala usijali ondoa hofu kabisa nitakupa,tutashirikiana na Nambe kukupa,au siyo Nambe em tumpe mkono wa msaada kijana wetu Kaizer.

:A S 11::typing::dance::tonguez::A S thumbs_up:

Thank you in advance Blue G
 
Last edited by a moderator:
naskiaga wazazi kuja Dar kuwaona watoto wao wa kike na wakifika watakuja na orodha ya vitu vya kununuliwa!...utasikia mzee anadai kanzu na kibarghashia huku mm nae usiseme kabisa!
 
Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu

kwa kifupi wengi wamekeketwa so kwenye yale mambo yetu ni lazima uwe na nguvu na maubunifu ya ziada ili kumpandisha mzuka.mengine mengi muulize mh. tundu lisu.
 
sasa kama wamekeketwa inakuwaje wanakuwa vicheche! fafanua zaidi JIWEGANGI tukuelewe!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom