xuxu meyu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 426
- 370
Umeambiwa dar sio congoAahh tunaambiwa wanaume wa dar hakuna mnaloweza ila kujichubua tu na kupaka rangi kwenye kucha
Umeambiwa dar sio congoAahh tunaambiwa wanaume wa dar hakuna mnaloweza ila kujichubua tu na kupaka rangi kwenye kucha
Yaani unasema Joto City pachafu kushinda zizi lako na NG'OMBE....ndio maana mmezoea kujisaidia poriniNimeondoka jana hilo sio jiji ni kijiji tu pachafu mitaro ovyo vyoo vinanuka guest zina kunguni nikirudi nikute pasafi la sivyo tutawahamishia mkuranga na kisarawe
Bush starYaan bora kujisaidia porini mbali na makazi sasa nyie vyoo hamna mnajisaidia kwenye mifuko mnaishi na mavi ndio maana kipindupindu kilianzia darisalaam dengii ilianzia darisalaam kuoga passport size ilianzia dar uzuri ni kwamba hamjatumbukiza tabia za uchafu huku mikoani hewa swafi kama uko ibiza beach
Bushman bado upo tu....wenzako wamejificha kwenye mazizi ya ng'ombeUnasemaje wewe mwanaume mpenda vya bure mwishowe manji atawapakata ooohhh nyie mzoee tu kulipiwa kila kitu bure na geti mmeharibu wanaume wa darisalaam
Ha ha ha sio kwa jibu hiliNi Nyumbu?
Ripstik = LipsticNyie wanaume wa dar mna nini cha kujivunia tofauti na kupaka powder carolite na ripstik kuvaa kata k njooni mikoani kwa wanaume
Hiyo nayo ni shiiida ya bush stars...Kazoea kuongea kilugha huko kwao
Msamehe