Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

Hahahahaha yaani wewe kwa akili zako za kuchezea bao unafikiri nyie ndio mna viwanda vya bia darisalaam tu halafu mikoani havipo?
 
Hahahahaha yaani wewe kwa akili zako za kuchezea bao unafikiri nyie ndio mna viwanda vya bia darisalaam tu halafu mikoani havipo?
Akili za kuchezea bao ni nzuri kuliko za kuchungia ng'ombe
Hata km mna viwanda mbona mnashinda vilabu vya mataputapu sababu hamna mkwanja
Mataputapu yatawaua shauri zenu
 
Tandale kwa tumbo mbagala mbona uswahilini kwenye mafuriko kila mwaka mataputapu yapo ya kutosha mnabwia unga mmekuwa nyoka halafu nyie wanaume wa dar wachoyo sana
 
Tandale kwa tumbo mbagala mbona uswahilini kwenye mafuriko kila mwaka mataputapu yapo ya kutosha mnabwia unga mmekuwa nyoka halafu nyie wanaume wa dar wachoyo sana
Tunapapenda huko Uswaz sababu ni kuzuri na mafuriko yanasaidia kupunguza Joto
Itakuwa ulikuja zamani tena nguo uliweka kwenye rambo .....njoo Tandale hata muda huu uone watu tunapiga vinywaji vya kimataifa sio nyie wanywa ulanzi
ab40dc340e68223f44661a61f0ad1b3c.jpg
 
Sasa wewe Bitoz hapo darisalaam unakaa pande zipi jmosi naleta mifugo nataka nikuletee jogoo la mkoani sio kila siku unakula mikuku ya kubumba ndio maana una tumbo kama chura siku dada zenu hatuwataki wana vitambi kama kaka zao
 
Unaona sasa ndio maana panyaroad wanatimua yaani wewe bisi na soseji ndio msosi kwako kwanini nisikuletee michembe mahindi na unga wa mhogo sato na jogoo wawili ili uwe na nguvu sawa Bitoz mdebwedo?
 
Unaona sasa ndio maana panyaroad wanatimua yaani wewe bisi na soseji ndio msosi kwako kwanini nisikuletee michembe mahindi na unga wa mhogo sato na jogoo wawili ili uwe na nguvu sawa Bitoz mdebwedo?
Hivyo ni vyakula vya mifugo
 
Jipe moyo ....washamba na waporiporipori km nyie level yenu hausigelo

Shimo c ile ile,na ungejua house girl walivyo watamu waulize akina baba wanaowaacha wake zao na kuvamia beki tatu ndani ya nyumba
 
Shimo c ile ile,na ungejua house girl walivyo watamu waulize akina baba wanaowaacha wake zao na kuvamia beki tatu ndani ya nyumba
Unafananishaje embe dodo na boribo.....
Nyie mabushstar ni madomo zege tu mnaogopa totoz kali sababu mnajishtukia
Level yenu hausigeli
 
Sasa hivi kiangazi tunakula tu bata vipi kesho naingia darisalaam nikuletee sato wa mwanza?
 
Bitoz nyangema ule mpango wenu wa kujenga geti pale chalinze uliishia wapi au ndo hivyo tena nguvu ya urojo na akili ya kuchezea bao mmeshindwa?
 
Back
Top Bottom