Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Hawezi nifanya chochote maana nikiondoka hua naaga wazee wangu...Anapiga mizinga huyo kuna siku kanivizia mnadani analia njaa oooh mzee niache hata na 10000 nikamwambia twende pori ukachunge mbuzi alilalamika sana mzee mimi hata bata sijawahi chunga nitaweza kweli