Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

Nina mashaka kama anaweza maana ni kijana mjanja mjanja hivi huwa anaishi kwa kupiga mizinga
Ile 10,000/= uliyonipa nilipokupokea pale Ubungo wakati unashangaashangaa nikakuelekeza jinsi ya kupanda mwendokasi bado inakuuma ?
 
Hahaaaaa ngoja nami one day nitapeli watu humu maana bado hawajapata somo vizur
Tena ID yako tayari ni brand zaidi ya Rainyundo utawapata sana mzee kiasi hutorudia tena kuomba ajira humu
 
Atakua tapeli tapeli tu huyu kuvizia vijana wa mabibo hostel
Pake hosteli naendaga kuchukua masistaduu tu
Huwa nabeba begi najifanya nasoma engineering pale Coet km injinia wetu uchwara wa Jf
 
Ile 10,000/= uliyonipa nilipokupokea pale Ubungo wakati unashangaashangaa nikakuelekeza jinsi ya kupanda mwendokasi bado inakuuma ?
Hahahahahaha una kumbukumbu nzuri ila unakumbuka pale ulipolazimisha kuosha gari la kubebea mifugo nikupe hata buku
 
Pake hosteli naendaga kuchukua masistaduu tu
Huwa nabeba begi najifanya nasoma engineering pale Coet km injinia wetu uchwara wa Jf
Unaenda kuwatembezea mayai ya bata..
 
Huwezi kupanga dili na huyo ni muoga balaa kuna siku mende kaingia kwenye gari alilokuwa ameazima ilibidi akatoe taarifa polisi
IMG_20180817_190415.jpeg
Huyu mkeo uliyemkimbia kijijini abakutafuta
 
Hahaaaaaaa mwambie aje hapa maeneo yako Victoria palace hotel atanikuta
Hivi huko Usukumsni kuna hotel kweli su mikwara tu maana pale Chato kuna traffic light lskini hakuna magari hivyo wanavuka punda na ng'ombe tu
 
Back
Top Bottom