Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

Acha wivu mzee usiwe km Rais wetu anayetamani kila mtu aishi km shetani
Hii ni week end halafu huku ni town hstunywi mataputapu
Mwambie huyo anatayetamani tuishi kama mashetani hatofanikiwa atamaliza muda wake atatuacha tunadunda kama kawaida kama haamini amuulize mwenzie Bwm
 
Hivi huko Usukumsni kuna hotel kweli su mikwara tu maana pale Chato kuna traffic light lskini hakuna magari hivyo wanavuka punda na ng'ombe tu
Huko chato wanaishi wasubi hakuna msukuma anayefuga punda
 
Back
Top Bottom