Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

vitoto vya dar kwa nyodoooooooooo
images
 
ninapokaa mimi ndo anakaa WAZIRI MKUU yaan anapitia kwetu,sasa wewe unayekaa karibu SIKOPIONI shauri yako
Mkiweka kuleta bahari ndo tutakuja kufuata SEA BREEZE
MKoa wa kibush huo ndio maana kuna hospital I ya MILEMBE
Haikujengwa kwa bahati mbaya
 
Mkiweka kuleta bahari ndo tutakuja kufuata SEA BREEZE
MKoa wa kibush huo ndio maana kuna hospital I ya MILEMBE
Haikujengwa kwa bahati mbaya
ila wagonjwa wanatoka DASLAAM
 
Huo ni mtazamo wako
Hapo tupo kiutani tu hata ukifuatilia mabishano yetu utagundua tunatambiana kiutani siyo kutukanana
tehe...tehe.... sijatukana ndugu yangu ila tu nimesahau nimesema ukweli ukauma poleni haya wacha sisi tuchunge mbuzi tuwaletee gaut mjini
 
tehe...tehe.... sijatukana ndugu yangu ila tu nimesahau nimesema ukweli ukauma poleni haya wacha sisi tuchunge mbuzi tuwaletee gaut mjini
Sijasema umetukana bali "tunataniana hatutukanani"
Joto City ndo mpango

Endeleeni kupalilia mipapai
 
Sijasema umetukana bali "tunataniana hatutukanani"
Joto City ndo mpango

Endeleeni kupalilia mipapai
ivi si ndo nyie mnaolima matembele kwenye mitaro ya vyoo?????
 
Imejengwa ili iwasaidie kuondoa akili zenu za kishamba
Nasikia mna ubongo wa nyati ndio maana ni wabishi km ng'ombe
wanaongoza kuumwa 'akili' ni wa DAR kwiii kwiiiii
 
Back
Top Bottom