Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

Limekupata la gizani kuanzia lini mikumi kukawa na ng'ombe toka nje ya kamji ka dar uione dunia au unahofia mafuriko?
Mporipori mbona umekimbia au umebanwa na kilimo cha vitunguu
 
Bitoz nyangema siwezi kukimbia nilikuwa bize nakusanya mifugo si nilikuambia 2 naingia hapo dsalaam nataka nikuletee sato na kuku wa kienyeji vipi tukutane wapi mtani?
 
Usije we Mporipori utalala wapi utafikiri huku sawa na Ndanda .....hatupokei watu washamba

Natokea rock city mtaa mmoja unaitwa mwananchi mifugo huwa naikusanya kutoka magu kwimba misungwi sengerema ndio niwaletee wavulana wa dslaam hata kazi hamtaki mnataka kulelewa tu marioo
 
Tz kuna niji 1 tu ......Joto City mengine yote vijiji na mapori tu ndo chimbuko lenu waporipori
 
Jiji gani chafu namna hiyo mjitahidi kufanya usafi sio kujichubua tu kama wacongo vile
 
Nyie endeleeni kupaka majivu huko porini na mafuta ya nazi huku tunatumia vitu vya kimataifa....unafikiri tunapewa bure au hatufanyi kazi?
 
1469809449003.jpg
1469809499239.jpg
hongereni kwa maendeleo
 
Back
Top Bottom