Mwanamke, utakubali tubadilishane unipe MUMEO nani nikupe UTAJIRI WANGU?

Kama genye watu wa kuzitoa zipo.
Halafu unaweza ukakosa ndoa ila mtu wa kutoana genye na kukutoa upweke akawepo.

Yes wapo hohehahe wenye furaha bila stress mpaka pale watakapopoyeza mtoto/mwenza kwa kukosa 500k tu ya matibabu au pale watakapotaman watoto wapate elimu bora ila uwezo hawana.
Hapa ndo nimegundua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, samahani lakini mkuu
 
Muda mwingine mwanamme huwa tunamkataa mwanamke kumpima kama ataondoka ama atabaki.

Kuondoka kwako kunaonesha wewe ni mjeuri na una backup. Angekuoa ungemtesa na ungemkimbia tuu. Hufai kuwa mke.
Mtu kashaamua kua waachane that means alishamake up his decision na alishajipanga..kuendelea kujilazimisha ni kumkosea heshima uyo mwenza

Mwanamke mwenye busara lazima aheshim maamuzi ya mwenza wake regardless yanauma kiwango gani

Kwahiyo ulitaka yeye ndio ang’ang’anie ili aje kuteswa yeye na kunyanyasika baade? Huyo hakua Mume sahihi kwake
 
Hivi ndoa zimekua ngumu namna hii mpaka mtu nataka kubadilishana?

Anyway, mimi hata ukiniambia unipe pesa zako zote na uhai wako sikupi Mume wangu kwa kweli, maana ana thamani kubwa kwangu kuliko kitu chochote na kamwe siwezi kuilinganisha thamani yake na mali au fedha

Kila la heri kwenye kutafuta
 
Naona Tolu kakuacha. Alikupa sababu zipi alipokuambia it's over?

Mtu unaweza ukabishana hapa watu wakikutuhumu kwamba wewe ni muumini wa Feminism ila maandiko yako ya Mwanzo yanasadiki imani yako.

Kuandika tu unaweza kutoa hela upewe Mwanaume na idadi kubwa ya wanawake, ni kuonyesha kuwa, kwako pesa ina thamani kubwa sana kuliko utu (uanaume).

Kumuambia Shoga yako kuwa ingelikuwa si mama anaumwa usingemsaidia na badala yake angetumia Cheti cha Ndoa kufanya matibabu ni kuonyesha kuwa ndoa haina thamani kwako.

Hata ukija na majibu tofauti katika swali langu la mwanzoni, ukweli ni kuwa Tolu kakuacha kwa sababu yaa dharau zako za kuwa na pesa,Ukaidi na kujiona.

Badilika.
Huyu mwanamke jeuri
 
Pesa hainunui upendo tafuta mtu mnayeendana,asiyekupenda achana naye
Hamna mwanamme atakuwa comfortable na mwanamke aliyemzidi hela,usimsaidie mwanaume ukidhani ndo atakupenda,hupendo haununuliwi
 
Tafuta pesa, mtafute Mungu, tafuta kufanya kile unachokisikia kwenye moyo wako duniani na mwanaume wa kukufaa kama yupo atakuja wala hutomwomba.... ati akuoe🤣

Halafu...... hivi watu walishawahi kukaa wakajiuliza duniani walikuja kufanya nini?
Mtu atakuambia kama huna ndoa pambana walau uwe na mtoto😅

Kina Ibrahimu na wengine wengi hawakupata watoto hadi uzeeni na waliishi....na walipokuja kuzaa walizaa WAFALME na MANABII, wewe unataka watoto bila hata kujiuliza huyo utakayemzaa atakua mtoto wa aina gani😅 matokeo ndio tunaleta hawa wa "kataandoa" na mambo mengine mengi.....

Maana ndoa ni maamuzi yako tuu ila ukishindwa kutumia karama na vipawa Mungu alivyokupa kufanya anayotakiwa kufanya duniani utaulizwaga siku moja
Aisee mkuu ni una hekima hadi basi.
Nimefarijika sana.
Maneno yako yasomwe na wote wenye kujisikia kama mim hakika watapata faraja.

Wanaume tunawapenda ila most of them wanatuchukulia kama plastic toys na machoz yetu ni sawa na matone ya jasho tu kwao.

Yes maisha ni kutimiza kusud la Mungu na kuacha alama hata kama ni ndogo
 
Back
Top Bottom