Mwanamke, utakubali tubadilishane unipe MUMEO nani nikupe UTAJIRI WANGU?

Aisee mkuu ni una hekima hadi basi.
Nimefarijika sana.
Maneno yako yasomwe na wote wenye kujisikia kama mim hakika watapata faraja.

Wanaume tunawapenda ila most of them wanatuchukulia kama plastic toys na machoz yetu ni sawa na matone ya jasho tu kwao.

Yes maisha ni kutimiza kusud la Mungu na kuacha alama hata kama ni ndogo
Jishushe tukuoe,ndoa tamu mbona
 
Wanawake wengi wameingia kwenye ndoa kwa sababu ambazo sio sababu

Jamani ndoa ni taasisi na ndoa ni jukumu tena jukumu linalobeba heshma na utu wa mtu.
Lakini hapohapo ndoa sio shurti useme ati kila mtu lazima aoe a kuolewa.

Kumiliki ndoa ni kama kumiliki shamba au nyumba au mifugo au biashra au gari.... sio kila mtu anaweza kumiliki nyumba au gari na kukosa kumiliki hivyo sio dhambi wala sio ujinga au ujanja ila ni uwezo

Ukisema ati ndoa ni heshma au bila ndoa hujakamilika huku unachepuka daily kwa kukosa upendo wa ndoa wewe mpuuzi na mpumbavu wa mwisho ambaye hufundishiki, hujielewi wala hueleweki

Team kataa ndoa ni wanaume ambao bado wanakua na wakiwa wakubwa watabadili mawazo

Ndoa iheshimiwe na watu wote
dronedrake
 
Brother, I had a girlfriend alibreakup na mimi akaniambia I have lost my feeling... Mtu akikupa sababu kama iyo inatosha, ama utauliza tena how😂😂😂
(Guess,, jibu utakalopata ni idk,,, I just lost them)
 

Attachments

  • Screenshot_20230320-123530.jpg
    Screenshot_20230320-123530.jpg
    33.8 KB · Views: 3
Brother, I had a girlfriend alibreakup na mimi akaniambia I have lost my feeling... Mtu akikupa sababu kama iyo inatosha, ama utauliza tena how😂😂😂
(Guess,, jibu utakalopata ni idk,,, I just lost them)
Hapana.
Huulizi tena.
 
I feel you are a nice lady lakin kuna namna umepunguka dear writer. Your friend entrusted you with her secrets yet umetumia secrets zake kuweka chumvi kwenye kidonda. Hajakulazimisha kurudiana na huyo ex wako ilikua ni conversation tu. Lakin umempaka chumvi kwenye kidonda amejisikiaje? Sawa ndoa yake ina shida lakini did gou have to do that? Where is the compassion?

Sijajua probably mna mazoea hayo lakin hata ni mm nisingejisikia vizuri kutumia tatizo langu kuget back at me.

And kuhusu topic hii, personally there is no easy life. Unaweza kuwa na hela na ukanywa k vant kila siku ulale namna ambavyo upweke unakuumiza ndani na unatamani somebody wa kuongea nae, kushare ideas na kulisongesha life. Lakin unaweza kuwa married na ukaexperience hell on earth. Yote kwa yote..tutafute kuliishi kusudi la Mungu either when single ama married.

Life without God's leading is a useless life. Kupitia uzi wako nazidi kujifunza kukaa mbali na the so called female friends, sisters, sexy mamaz and what not. Mara nyingi tunategeka hapa, tunayabwaga ya moyoni hence things do backfire. Nazidi kumsogelea karibu Kristo na nimuone kama bestie yangu nishare nae vya ndani kabisa. Maana kwake tu ndo hakutabackfire.

Lakin hii kuhadithiana hii, huwa inaturudi vibaya mno. Ukijiboast... jiboast juu ya neema na rehema za Mungu kwamba bila yeye huwezi accomplish chochote. Your bestfriend ni basi tu unamsaidia lakini kuna namna hayo maneno yanaweza kuwa yamemuumiza. Ndoa zina maji matamu na machungu.

Lakini "All things work together for good for those who believe in Christ." Lets bring out the best in each other rather than to be thorns to each other. Kuna namna hekima yako imepungua dear sister..I bliv deep down yo a good person. Itafute hekima na chagua maneno ya kuongea. If huna kizuri cha kusema au cha kuandika..just chill afu tafakari then rudi kuandika ama kuongea. Hope you will take this positively..lakin if you will feel offended then sorry miss..
Congrat Sister! Umetoa madini mazuri sana na ya hekima. Nilishawahi kuachana na Mwanamke wa aina hiyo . Yaani mtu ambaye Hana hofu ya Mungu kabisa. Ibadani haendi wala kusali hataki. Life without Christ is useless. Nikaona hamna future hapa Kwa uzao utakaokuja.
 
Muda mwingine mwanamme huwa tunamkataa mwanamke kumpima kama ataondoka ama atabaki.

Kuondoka kwako kunaonesha wewe ni mjeuri na una backup. Angekuoa ungemtesa na ungemkimbia tuu. Hufai kuwa mke.

Sasa umemkataa atabaki vipi…. Kitendo tu cha kumtamkia humtaki yaonyesha humpendii

Hakuna ujeuri wowote hapo mnataka tuanze kuwabembelezaa ooh usiniachee tangu lini mwanamke akabembelezaa
 
Nilimpenda,nilimheshimu,nilimtii,nilimuombea hadi kwa kufunga ila anaonekana ana mambo mengi.

Acha kufunga kwa ajili ya boyfriend mama angu

Unajitesa bure maombi ni kwa ajili ya mumeo tu hao wengine acha wateswee na shetani

Ombea Taifa kama unapenda kufunga

Angalau angekuwa ni mchumba wako but boyfriend how
Unapoteza muda tu hata Mungu hasikii
 
Acha kufunga kwa ajili ya boyfriend mama angu

Unajitesa bure maombi ni kwa ajili ya mumeo tu hao wengine acha wateswee na shetani

Ombea Taifa kama unapenda kufunga

Angalau angekuwa ni mchumba wako but boyfriend how
Unapoteza muda tu hata Mungu hasikii
I know dear.
I shouldnt have allowed myself to be carried away by love to such extent.
 
Congrat Sister! Umetoa madini mazuri sana na ya hekima. Nilishawahi kuachana na Mwanamke wa aina hiyo . Yaani mtu ambaye Hana hofu ya Mungu kabisa. Ibadani haendi wala kusali hataki. Life without Christ is useless. Nikaona hamna future hapa Kwa uzao utakaokuja.
Yes.
No Jesus no life
 
Back
Top Bottom