Mwanamke usimuulize mwanaume swali hili

Mwanamke usimuulize mwanaume swali hili

kumbe kunahaja ya mimi pia kuachana na dirtyphone ee Fixed Point . Nahsi kunavitu nakosa.
 
Last edited by a moderator:


Wewe ni msichana/ mwanamke ( lady ? ).Usimuulize mwanaume swali
hili hapa :

Namba yapo ipo kwenye watsup? AU Upo kwenye
watsup ?



SABABU :

1. Swali hili huwa linaulizwa na wasichana/wanawake makahaba so
ukiuliza swali hili una kuwa una raise suspicious.

2. Swali hili huulizwa na watoto wa shule ( watoto wa mulugo )
ambao ufahamu wao kuhusu maisha ni mchanga so unapouliza swali
hili unakuwa unepeleka meseji kwenye mind ya mwanaume kuwa
ufahamu wako ni mdogo.

3. Maswali kama haya huwa wanaulizwa wavulana ( watoto wa
facebook ) so haupaswi kuuliza swali kama hili kwa mwanaume


3. Swali hili huwa linaulizwa na wasichana/wanawake washamba.

4. Swali hili huulizwa na wanawake/wasichana
malimbukeni.

ata wanaume mbona mnaulizaga ivo viswal....?yan mim nikisikiaga ako kaswal natibuka kabitha....
 
umekutana na msichana sehemu mlikuwa hamfahamiani, labda mkafahamishwa kupitia marafiki, badaye mkapena namba halafu all of a sudden she jumps on telling the whatsapp thing

kuna ubaya gani hapo hali ya kuwa na namba mmeshabadilishana.??
 
Back
Top Bottom