LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 20,003
- 37,909
Wewe ni msichana/ mwanamke ( lady ? ).Usimuulize mwanaume swali hili hapa :
Namba yapo ipo kwenye watsup? AU Upo kwenye watsup ?
SABABU :
1. Swali hili huwa linaulizwa na wasichana/wanawake makahaba so ukiuliza swali hili una kuwa una raise suspicious.
2. Swali hili huulizwa na watoto wa shule ( watoto wa mulugo ) ambao ufahamu wao kuhusu maisha ni mchanga so unapouliza swali hili unakuwa unepeleka meseji kwenye mind ya mwanaume kuwa ufahamu wako ni mdogo.
3. Maswali kama haya huwa wanaulizwa wavulana ( watoto wa facebook ) so haupaswi kuuliza swali kama hili kwa mwanaume
3. Swali hili huwa linaulizwa na wasichana/wanawake washamba.
4. Swali hili huulizwa na wanawake/wasichana malimbukeni.