Mwanamke usimuulize mwanaume swali hili

Mwanamke usimuulize mwanaume swali hili

Mwisho wa siku tatizo sio watsAap...
Tatizo ni wewe utakavyoipokea na utakavyoitumia.
Na ukiniuliza kama natumia wala simaindi na namba nakupa...na ukiniuliza nakujibu bila kinyongo.
Ukianza kunitumia kibamia chako nakublock tu...case closed.
Wanayoyafanya wengine watsAap hayanihusu ninachofanya mimi ndio kinanihusu...

Nipe namba yako mwaya
 
Umeona eeh! Bora ujue hata matumizi yake ila usiitumie, sio kila anayekuuliza una watsapp we unammind, kumbe umepitwa na technologia.

Mi ninayo, mambo ya kutumiana picha za watoto wetu (unajua tena uzazi wa kwanza kwa picha eeh!), inasaidia kweli, sio mpaka mambo ya email.
Whatsapp anaweza akawa anatumia namba nyingine na mawasiliano ya kawaida namba nyingine pia. Hata hivyo sijawahi kuona shida ya whatsapp na ndiyo maana mimi licha ya whatsapp natumia viber, Tango, Freepp, twiter na nyinginezo tu kwa wingi.
 
Back
Top Bottom