Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,525
- 185,663
Mi napita tu
nsubir twende wote namim naelekea huko
Mi napita tu
bora mie siko huko jf yatosha.
Hapo ndo utaona kumbe unayemuheshimu hafai kuheshimiwa, yan unakuta jitu unaliheshimu sana af linakutumia "kipenseli chake" bila hata chembe ya aibu
Mleta mada sema huna smartphone mambo yaishe sio kuanzia kupakazia watu na mainstagram yao, mawozap yao, maviber, mafacebook sijui na manini!
nichukue nafasi hii kutangaza fursa atayependa kuchat nami wozap anipm namba kabisa
CC Asprin Mentor Heaven on Earth mwallu Nicas Mtei cacico

nimepanua mawazo kupitia jukwaa la wajasiliamali,
Karibu chap chap sana..nipo pia viber....tweeter....facebook.....instagram...
Hili ni jukwaa gani?
Mbona sijapata kuliona hapa?
labda Jukwaa la biashara na Uchumi
Ujasiliamali au ujasiriamali?