Mwanamke unawezaje kufanya huu ujinga?

Mwanamke unawezaje kufanya huu ujinga?

Aiseee!!....

Naweza kuwa na simu ya Tecno lakini nikawa na hela/uwezo wa kumuzidi anayetumia simu tofauti na Tecno

Unataka kuwaamisha wenzio kuwa anayetumia simu ya Tecno anasidifu kuwa yaliyomo hayamo?

Acha dharau wewe......
 
Nadhani kuna tofauti ya changudoa na mwanamke wa kawaida.Hawa wauza nyapu ndio business zao hizi iphone kwa gegedo tena hadi ndogo wanagegedwa.
 
Sasa kama unashangaa wanawake kufanya ujinga, unadhani wasipofanya wao ujinga atafanya nani
[HASHTAG]#chawakota[/HASHTAG] (chama cha wasoma koment tz)
 
Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii

Muwe na siku njema
Nyie ndo mnachezewaga mpaka kufikia miaka 30 uchi wako haujulikani mashavu ni yapi na kisi.mi kipi? Yaani uchi unakuwa kama ulipigwa bomu *****.Endeleeni kuendekeza njaa zenu mtachezewa wataolewa ambao wana tabia za bikira maria hata kama sura zao kama ukoko wa makande.
 
Si ajabu hata hiyo iPhone uliyonayo huna list na hujui haya bei yake,alafu unadhalau mwanaume anayemiliki tecno yenye listi,ila nahisi mvua ilishakunyeshea maana si kwa povu hilo
 
Aiseee!!....

Naweza kuwa na simu ya Tecno lakini nikawa na hela/uwezo wa kumuzidi anayetumia simu tofauti na Tecno

Unataka kuwaamisha wenzio kuwa anayetumia simu ya Tecno anasidifu kuwa yaliyomo hayamo?

Acha dharau wewe......
Hahahaaa. Nimeshindwa kuielewa nia ya kritika kwa kweli. Lol.
 
Unadhani kila anayetumia tecno hana pesa ndefu ?
Una shida!
Hii inaitwa za kupewa changanya na zako Kaka sababu kwa alichokiandika wapo pia ambao wana akili kama zake.

Wakati kiuhalisia kutumia kitu na bei rahisi na kuwa na pesa ni vitu viwili tofauti sababu kila mmoja na kile anachokipenda.
 
Msichana akiwa na 20-25 yrs ukimuuliza unataka mume wa aina gani, atasema mwenye gari, nyumba, Handsome, n.k

Akifikia umri wa 35 hapo ukimuuliza tena unataka mume gani atasema anataka Mume mcha Mungu, hakumbuki tena habari ya magari kwasababu uzuri unazidi tu kukwajuka na hata mitongozo imepungua.

Akifika 40 yrs hapo ukimuuliza tena, hapo atakwambia anataka Mume yoyote tu ilimladi awe tayari kuishi nae tu.

Jitafakarini.
Hahahaaa. Umeyajulia wapi haya jamaani rafiki lol.
 
Mimi TECNO yangu siji iacha kabisa, hata ikifa siitupi.
Nilipewa zawadi na kabinti kangu mweeh na hata kakiniona natumia kanafurahi mno maana kalijipinda kununua.
kritika una mawazo ya kimasikini mno na najua haya ndiyo madhara ya kukaa na jamii moja kwa zaidi ya miaka 20.
Ukienda kwenye nyumba ukakuta Vegetarians wanakula makaroti, Maharage na matunda unaweza ukahisi nao ni masikini.
 
Back
Top Bottom