Mwanamke unawezaje kufanya huu ujinga?

Mwanamke unawezaje kufanya huu ujinga?

Siku zote wauzaji wa zile bidhaa ambazo bei ni "mapatano" huwa wanawapenda sana wanunuzi wenye "pochi" nene. Ili ajue wewe una Pochi nene ni lazima aangalie vitu unavyomiliki kama "simu", gari unaloendesha na hata mavazi uliyovaa.
 
Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii

Muwe na siku njema
Kuna wenzio baada ya kutumikia sana hizo iPhone na sumsung, sasa wanatamani wawapate hata wanaume wa OKING au NOKLA ya elfu 15 lakini wamekosa! Jua limezama!
 
Mademu kama hawa ukiwaambia wachague mwenye simu kali na mwenye nyumba, watachagua mwanaume mwenye simu kali.
Kuna Demu pia mkenya nae huwa anashangaa kumkuta mwanamume mwenye pete ya ndoa kwenye daladala. Eti huyo mwanamke alimkubalije ?
 
Watumia Tecno utawajua kupitia huu uzi teh
 
Back
Top Bottom