Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,042
- 126,057
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila Kritika ana utani wa ngumi hasaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mnaotumia tecno mkuje mnaitwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila Kritika ana utani wa ngumi hasaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mnaotumia tecno mkuje mnaitwa
Nipe wasifu wake kiongoziAs long as watu washakujua,huwapi shida
Duuh.Sura yenyewe kama ya baba ako,ndo nyinyi huwa tunawakojolea halafu hatuwaoi,baba ako mwenyewe anatumia tekno
Hahahaa. Kweli kabisa usemalo Sesten.Vizuri lakini kaweka wazi hisia za moyo wake
hahhah nimecheka mleta mada uwiii mekumiss swahiba upoKila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unawapiga dongo wazazi wako muwe kidogo mnafikiria haya mambo
Hahaha, nimecheka sana.Naona unawapiga dongo wazazi wako muwe kidogo mnafikiria haya mambo
Hahahaa, ulivyoshangaa!😀🙂Duuh.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
umalaya huoooo, we kama si changu sijuiii?Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii
Muwe na siku njema
mbona mama yako amemkubalia baba yako ukazaliwa.Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii
Muwe na siku njema
Nifanyeje Sesten sababu kapewa kavu hasaaaaa.Hahahaa, ulivyoshangaa!😀🙂
Tena lina kilo za kutosha kabisaNifanyeje Sesten sababu kapewa kavu hasaaaaa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Fact sifikirii kama wazazi wake walipotongozana walikuwa na iphon huenda hawakuwa na simu mazima hadi anapatikana yeye sasa unaposhusha nondo jitathiminiHahaha, nimecheka sana.
Muafrica umasiki umeingia hadi kwenye akili 😀😀😀😀😀😀
Umeonaeeeee. Haya nambie na mie niambie tu nijue Hajar mie ndioo niambieee. [emoji12] [emoji12]Tena lina kilo za kutosha kabisa
Hahaha,Fact sifikirii kama wazazi wake walipotongozana walikuwa na iphon huenda hawakuwa na simu mazima hadi anapatikana yeye sasa unaposhusha nondo jitathimini
Mi natumia kitochi kabisaa, sasa hapo nikikuambia ambia si ndio utanitoa mbio kabisa au itakua kama ya yule mdosi kwenda kunishtaki kwao, sasa kaka zako hawakawii kutoka na "mguu wa kuku"😀😀😀Umeonaeeeee. Haya nambie na mie niambie tu nijue Hajar mie ndioo niambieee. [emoji12] [emoji12]
Wewe kwani watumia Tecno pia. [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.Mi natumia kitochi kabisaa, sasa hapo nikikuambia ambia si ndio utanitoa mbio kabisa au itakua kama ya yule mdosi kwenda kunishtaki kwao, sasa kaka zako hawakawii kutoka na "mguu wa kuku"😀😀😀
Na ukumbuke kwamba sio kila mtu anababaika na matoleo ya simu, watu wana mambo mengi ya kufanya ambayo ni ya msingi kuliko hizo version za simu shubalamamamiti..Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii
Muwe na siku njema