Mwanamke unawezaje kufanya huu ujinga?

Mwanamke unawezaje kufanya huu ujinga?

Tunawaelewa sana, kilichobaki tunawaangalia tu mnavyohangaika na kujibalaguza bila malengo.
Mbadilike tu rafiki!!.
Hahahaaaa. Lol.

Mie siko katika hilo kundi banaaa. [emoji12]
 
nashangaa sanaaa yaani jamii imekubali tu kuwa kupokea ujinga wowote kutoka kwa mabint kama kritika, yaani hata kwa ujinga wao wanawake huwa analaumiwa mwanaume tu!!

Jamii inawalemaza sana wanawake
 
Back
Top Bottom