Mwanamke unawezaje kufanya huu ujinga?

Mwanamke unawezaje kufanya huu ujinga?

show me a bi**ch who makes you sleepless and i will show you a man who is tired of fu**king her.....
 
Hapa inadhihirisha upeo mdogo wa kufikiri wa baadhi ya wanawake. Wanadanganyika na vitu vidogo sana afu wakishaumizwa huko wanakuja kulialia all men are dogs
 
Hahahaaa. Umeyajulia wapi haya jamaani rafiki lol. [emoji85] [emoji85]
Tunawaelewa sana, kilichobaki tunawaangalia tu mnavyohangaika na kujibalaguza bila malengo.
Mbadilike tu rafiki!!.
 
Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii

Muwe na siku njema
Wewe mwenyewe unakaribia kuwa tecno tochi.subiri iongezeke miaka miwii mitatu uone jonsi utakavyokuwa umezeeka.utakula dharau zako
 
Teh walichokutenda wanaume kimekufanya kujiamini kwako kuje kwa kuwashambulia....
 
Ngoja tuendelee tu kutumia tecno tukose hao mabebee!

Maana ma i phone wengine hatuwezi,Apple product ninayoimudu ni apple juice tu!
 
Live yan majuzi nilikutana na kaka very handsome Yuko smart khaaa kuja kucheki sm anayo tumia eti tecno Lol....cjamtafta mpka Leo nlmshusha viwango vyote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala usimtafute uje umuharibie future yake kwa kuwa na mwanamke aina yako.

Binafsi nimetumia simu zote, niko samsung S8+. Ila mwanamke akinionyesha tamaa za kijinga napiga chini faster.. sitaki mazoea.
 
Back
Top Bottom