Kitrika kitrika hahahaha lait mamaako angekuwa anampima baba ako kwa simu anayomiliki huenda kuwa usingezaliwa na kuandika huu utumbo.Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii
Muwe na siku njema
Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii
Muwe na siku njema
Hivi ni lini mtatuacha na Tecno zetu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mnaotumia tecno mkuje mnaitwa
Nina Tecno vipi utanidondokea?Nyie ndio mnaondondokeaga kwa mwenye simu ya tochi![emoji53]
Ile iphone x yako umepeleka wapiHivi ni lini mtatuacha na Tecno zetu?
Iphone ya nini? Sinunui simu zaidi ya 100,000/- Tecno ndio mwisho.Ile iphone x yako umepeleka wapi
Uzuri ukificha Wewe, wenzako wanazitoa tu kama kawa....Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii
Muwe na siku njema