King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,781
Ama baada ya salamu, unazungumziaje dakika 90 za Mtambuzi?
Karibu vitumua, in fact vingine kuna mtu nilimpa akuletee jana, yule jamaa anayekuzengea zengea 9sijui umeshamkubalia manake unajing'ata vidole) maembe yanahusu sana King'asti lol:sleepy:
Jamaa alinipigia sikupokea nikajua ni sera zile zile za ccm! Bora akale mwenyewe, nitakuja.
Sasa mie kwa kusubirisha, sio Siku 90 tu kaka. Manake na Bhange hizi bila true love hakuna mapenzi. Kwa hiyo shurti afukuzie 7 years Kama yakobo, na akiloba steps anapewa Leah, afu atumikie tena 7 yrs zingine ndo anipate. Uzuri huwa sipandishi kioo hadi juu, walau ukichungulia unions nywele na sikio
Last edited by a moderator: