Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
Mkuu Mtambuzi nimekusoma bandiko lako uzuuri kabisa
"pamoja na mambo mengine", hizo "siku 90 kabla ya kula tunda" ni absolute ama relative?
Khaaa...... Mtambuzi siku 90 ni miezi kama mitatu hivi, sasa kigezo gani umetumia mkuu? Ujue hasa muktadha wa swali langu ni kwamba hatuwezi kuwa na mzani sahihi wa kupima tusubiri muda gani. Hata yule anayefanikiwa "kupatamo" siku ya kwanza wanaweza kuoendelea hadi ndoa, na siye "madomo zege" "tusio na mvuto" tukasubiri hata miaka saba kisha unakula siku moja na "kukinai" kwa sababu huoni tena kilichokupa hamu muda wote huo ni nini? Unaweza kukuta ndo ivo gari imeenda 'kilomita nyingi' au we mwenyewe kumbe 'hutoshei'! LOL
Last edited by a moderator: