Boss bana. . .Yaani wewe ndo unaanzisha mada mpya kabisaa
kuna ma sista duu
ma bitozi
msela
wagumu
mshefa
mchizi
jimama
kishtobe
kiportable
shangazi shangazi
mjomba mjomba...
bushoke....
jamani nasikia harufu ya baruti humu sredini
Boss bana. . .
Mi nimetaka kujua wadada ambao wanasifa kinyume na za mashangingi. . . . hao wengine waache.
Ni kawaida katika mazungumzo kusikia watu wakisema..
'nimepata bonge la 'shangingi'
au mke wa fulani 'shangingi la kufa mtu'
au mitaa ya sinza kuna 'mashangingi ya ukwel'....
na hata wanawake utasikia 'wifi yangu fulani 'shangingi' hasa..
na kadhalika...........
sasa hapa nauliza usahihi wa neno shangingi ni upi?
na mwanamke 'shangingi' ni yupi???
je mwanamke mwembamba anaweza kuwa shangingi??????
au mwanamke mfupi ????
mwanamke mpole sana kama mlokole ??????
je wanawake wanene na wenye maumbo makubwa automatically ni mashangingi????
msichana teenager anaweza kuwa shangingi???
ushangingi nini hasa?umbo au tabia?
tabia zipi?????????
je unaweza kusema natafuta shangingi la kufa mtu????lol
au kumwambia mkeo ..nataka uwe shangingi hivi '??????lol
tazama.. mfano wa magari.....magari mashangingi ni ma land cruiser na ma nissan
yote aghali makubwa na yanatumia pesa nyingi ku ya maintain....
huwezi kuita corola shangingi...lol
Nataka kujua upande wa wanawake.
Alafu mbona la wanaume limekaa vizuri? Kuitwa pedeshee wanaona sifa wakati mwingine ukimwita shangingi anaweza akakulisha ngumi.
unaweza sema ni ma sista duu
why?kwa sababu masista duu wana sifa ya maringo na kuchagua watu
while mashangingi wanajichanganya sana...so yes....
unaweza sema ni ma sista duu
why?kwa sababu masista duu wana sifa ya maringo na kuchagua watu
while mashangingi wanajichanganya sana...so yes....
wao tunawaita mafataki. Kwa wanawake ni masista du au vishtobe.
jamani, mbona mnayasakama maumbo yetu? je JF kuna mashangingi?
Hii inanikumbusha 'uswahili'.
Utasikia mtu anasema 'mi sina mambo ya kiswahili kama hayo'.
Sasa 'uswahili' ni nini? Na kinyume cha 'uswahili' ni nini?
Sophisticated?Really . . . . . . . ?hakuna sifa fixed nadhani
but generally msichana anaejipenda/
a sophisticated young lady......with the right manners.
hakuna sifa fixed nadhani
but generally msichana anaejipenda/
a sophisticated young lady......with the right manners.
Uzungu ndio kinyume chake.
Ahsante.
Nisaidie sifa nyingine za masista du nifanye tathmini.
wrong...kuna uhindini na wahindi
kuna waarabu na wasomali nao....
kuna wabara pia wanaponda uswahili....its complicated