Bbadhi za sifa za sista du
1. Kukataa hana mtoto kama anaye
2. Ku-hang out sehemu za mabrazamen
3. Kushika BB mbele kama askari anavyoshika bunduki tayari kwa ku-attack adui
4. Kuomba wenzie BBM pin bila kuuliza kama wanazo
5. Kujaribu kwenda na fashen za akina Kim kadashan hata kama hazina maana mazingira anayoishi
6. Kuhakikisha ana products feki ila zenye majina makubwa
eg. Pair ya viatu feki nembo Steve maden
pafyum feki jina Dior
pochi feki jina cuggi
7. Kiswangilish ndo mpango mzima
8. Kuwa na wivu na wasichana wenzie hasa wanao-shine zaidi yake
9. Chakula ni baga au chipsi kuku, NO kwa ugali
ntarudi badae
hakuna sifa fixed nadhani
but generally msichana anaejipenda/
a sophisticated young lady......with the right manners.
Bbadhi za sifa za sista du
6. Kuhakikisha ana products feki ila zenye majina makubwa
eg. Pair ya viatu feki nembo Steve maden
pafyum feki jina Dior
pochi feki jina cuggi
7. Kiswangilish ndo mpango mzima
Sasa wewe mtoto shoo, wewe una mambo ya 'kiswahili' au ya 'kizungu'?
Bbadhi za sifa za sista du
1. Kukataa hana mtoto kama anaye
2. Ku-hang out sehemu za mabrazamen
3. Kushika BB mbele kama askari anavyoshika bunduki tayari kwa ku-attack adui
4. Kuomba wenzie BBM pin bila kuuliza kama wanazo
5. Kujaribu kwenda na fashen za akina Kim kadashan hata kama hazina maana mazingira anayoishi
6. Kuhakikisha ana products feki ila zenye majina makubwa
eg. Pair ya viatu feki nembo Steve maden
pafyum feki jina Dior
pochi feki jina cuggi
7. Kiswangilish ndo mpango mzima
8. Kuwa na wivu na wasichana wenzie hasa wanao-shine zaidi yake
9. Chakula ni baga au chipsi kuku, NO kwa ugali
ntarudi badae
. . .Siku hizi nasikiliza taarab kidogo ili nijue nyimbo nzuri kwaajili ya ntu fidenge. . . USWAHILI.
. . .Nazingatia na kuheshimu muda (most of the time nwy). . . UZUNGU.
. . . Mchokozi kidogo na maneno ya hapa na pale. . . USWAHILI.
. . .Siombi vocha. . . UZUNGU
Niko kote kote.
Wewe je?
aiseee....Hmmm sasa hapo utagusa wengi humu lol. Hasa kwenye Kiswanglish...
but generally msichana anaejipenda/
a sophisticated young lady......with the right manners.
Mimi ni Mnyantuzu pyua chapa ya ng'ombe moja kwa moja toka Ikungulyabashashi.
dah....sasa hao no masista duu ambao wanajiita masista duu
wenyewe original hawapendi hiyo label...na hawako fake that much...
aiseee....
...juzi nilikuwa naangalia mikasi ya salama jay....alikuwepo modo matata flaviana....demu anaboa kichizi yeye kiswangishi mwanzo mwisho...
Hmmm sasa hapo utagusa wengi humu lol. Hasa kwenye Kiswanglish...
Unajua watu tunaji-associate na makundi for comfort, security, to feel loved, to feel important
Hehehe. . . Nzagamba ehhhh. . !!?
Unaweza kuandika hicho ulichoandika kwa kutumia Kiswahili peke yake?
umewahi sikia kitu kinaitwa 'foolish age'
sasa ubitozi na u sista duu huo unaozungumzia umo humo....
Duh. . .naona sijafikia kiwango.
Thanks mwaya.
huoni napiga mbizi halafu narudi tena juu kuchungulia hali ya hewa,ohoooUkiona panafuka moshi, piga mbizi baharini